Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 19,077 Reaction score 9,240 Apr 5, 2020 #21 Kingsmann said: "UKIRITIMBA Una ng'ombe wawili. Serikali inakunyang'anya wote. Inamuua mmoja, inamkamua aliyebaki, kisha inamwaga maziwa." Ukiritimba ni noma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unforgetable Click to expand... Maisha ya kibongo yapo hiviyani kichawi chawi. yani bora tufanane wote tuwe masikini hutaki mwenzio apate wala wewe upate, bora tukose wote.
Kingsmann said: "UKIRITIMBA Una ng'ombe wawili. Serikali inakunyang'anya wote. Inamuua mmoja, inamkamua aliyebaki, kisha inamwaga maziwa." Ukiritimba ni noma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unforgetable Click to expand... Maisha ya kibongo yapo hiviyani kichawi chawi. yani bora tufanane wote tuwe masikini hutaki mwenzio apate wala wewe upate, bora tukose wote.