Falsafa ya Mpenzi wa kweli.

Kwanza hongera rafiki yangu kwa kuamua kufunguka..
Suala hili hutuchanganya vijana wengi..inapofikia wakati wa kuchukua maamuzi magumu..haswa inapokuja suala la kupata mtu wa kuishi nae.

Mimi kwa ushauri wangu. Huyo mwanamke hakufai nasema wazi hakufai..kama ulikwisha muahidi vitu vingi na baadhi ya vitu tayari umeshaanza kumtekelezea..na bado hakuelewi..hiyo ni fika kwamba hakufai na hana nia nawe..pia inaonekana ana uwezo finyu wa kupembea masuala ya mahusiano. "She is not understanding".

Ningependa kukueleza kuwa ndoa ni mkataba wa kudumu kwa siye wakristo hadi hapo mmoja wenu atakapo fariki..ndoa ni mkataba mkubwa na wenye kurasa nyingi kuliko mkataba wowote duniani. hivyo yakupasa kumuomba Mungu akusaidie kuusoma mkataba huo na kuuelewa vema bila kuruka hata mstari mmoja...kabla ya kuweka saini yako ya kudumu isiyo futika..
pia ni ngepa kukueleza kwa hakuna kitu kibaya kama kuidanganya nafsi yako..huyo mwanamke hakufai..na ukitaka kujiaminsha na maamuzi yako ...you must make a decision base on something you have.
mfano fanya hivi..si unataka kupata mwanamke wa kuoa..tafuta karamu na karatasi... then ulozesha sifa zote za mwanamke ambaye ungependa kumwoa awe nazo...(na fahamu ni ngumu kupata wa sifa zote basi angalau zinazo karibia hata 3/4, na zile ambazo hana jiulize kama unaweza kuvumilia/kuabadilika/kumfanya awe nazo)

sasa ukisha ziorozesha match them against the features of your current girlfriend...then from there you can make a good decision...fahamu kwamba maamuzi magumu yanahitaji kujitoa muhanga.

Fahamu kwamba mwanamke lazima awe chini yako..japo nao pia wanafasi ya kuchangia..be a man. A man must act and make hard decisions.

natumai utakuwa umenisoma friend.

Asante
Asante Bro kweli JF is the best. Nimepata faraja sana moyoni mwangu. Asante tena Mungu azidi kukupa busara hiyo
 
Mkuu umri hua ni tatizo sana kwenye mapenzi,msichana mwenye 21 bado ana mengi ya kufanya kwenye maisha yake sidhani kama anaweza kusetle kwenye ndoa..
Pia sidhani kama ni sahihi kutangaza nia ya kuoa mwanzoni mwa mahusiano wakati bado hamjajuana in and out,take time kumjua mtu kabla ya kuweka malengo..
Ukiona anakusumbua sana ujue it is neva meant to be let her go..
 
huyo dada achana nae,atakupelekesha.kwanza anavyore act hayupo tayari kuolewa huyo.
 
he ,yaan saiv mapenzi yalivyokuwa mtego,, ukifanya mchezo chupi utaava ktk kichwa,, be careful brrro, jipe muda kutafuta suitable girl for u ,,kila la kheir
 
Umejiachia kwake sana. kaisoma vibaya anaona kama vile wewe zuzu kumbe
tu umeona ndio patna wa kushare nae mambo! muoneshe upande wa pili wa shilingi
atakueshimu tu. kama humuwezi mkioana itakua kaaz kwel kwel.
 
umejaribu kumwambia vitu ambavyo vinavyokukera toka kwake?

Swali la msingi hilo!
Nina mpenzi wangu tangu mwaka 1995 - hadi sasa msingi mkuu ni kujua mambo yanayonikera.

Nachukia kudanganywa!
 
Back
Top Bottom