Falsafa katika maisha

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
1. Usikubali kumkera unaempenda.

2.Bora uishi na umasikini wenye furaha kuliko kuwa na mali huna furaha,


3.Usipende kutumia njia moja, badilisha njia ili usiwe maarufu kwa njia Moja.


4.Popote utakapo kwenda waheshimu unaowakuta Vyovyote Vile Walivyo.


5.Epuka kuitesa nafsi inayokupenda na epuka kulaumu hadharani.

6. Jitahidi kumuelewa mtu tabia yake.

7. Mjali mwenzako, tunza siri na jitahidi kutimiza ahadi.

8. Ukiaminiwa basi na wewe ujiaminishe, usiwe na tabia ya kuwazarau wenzio.

9. Kuwa Makini Katika Maamuzi Ili Kuepuka Makosa Katika Utendaji.


10. Kuwa Mwepesi Kusamehe Na Kusahau.

Kama kuna maneno mengine endeleza hapa...............
 
Mengi kati ya haya yanafanana na ambayo yamo ktk kitabu changu , nachokaribia kukizindua hivi karibuni .
Kama kitabu changu hakijavuja, basi twafanana sana mawazo .
 
Tafuta utapata bisha hodi utafunguliwa na ukiomba utapewa. Kuwa mwaminifu hata kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…