King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,985
Anataka kutuzibia. Mie kutwa mtandaoni nawinda mzungu. Natalia kagoma kuniintrodyuzi kwa mashemeji zake ama yule ex hubby tycoon wa wifi yake.
Kokote ikiwemo online unapata mupenzi bana..sioni kwa nini uwa-discourage watu..