Hahahaha ....mkuu nipo hapa napiga primus nawaangalia wanyarwanda wanavyo shangilia.
MAPATANO NCHI KAVU BAHARINI NI KUVUA TU
Ishaanza mkuuNdiyo imeshaanza rasmi Mkuu, kujirusha kwa sana tu. Vipi wewe Mkuu?
Nina marafiki zangu wanyarwanda huwaambii kitu kwa Kagame, lakini mie nawapa za uso kwamba jamaa anaua wapinzani na pia kuua upinzani ili atawale milele. Huyu nina wasi wasi anaweza kuwa kama Mugabe au Museveni na kuishia kukaa madarakani kwa miongo mitatu au hata zaidi kama afya yake inaruhusu.
nimesikia jion kuwa ana vipindi vingine vi3 kufuatia katiba yao!nikchoka! lakini kwan kun tofauti sn na hapa kwani!?
Hakuna aisee ndiyo yale yale ya fake election zinatumika billions chungu nzima wakati matokeo yanajulikana wazi. Nilifurahia sana uchaguzi wa Ghana upinzani kushinda na kupewa nchi bila kumwaga damu. Sijui kama hili litakuja kutokea hapa kwetu.
Kwahiyo upinzani ukishinda ndio uchaguzi unakuwa halali na sivinginevyo?Hakuna aisee ndiyo yale yale ya fake election zinatumika billions chungu nzima wakati matokeo yanajulikana wazi. Nilifurahia sana uchaguzi wa Ghana upinzani kushinda na kupewa nchi bila kumwaga damu. Sijui kama hili litakuja kutokea hapa kwetu.
Hakuna wa kuniondoa kwenye kiti...