Fake Apple Store with fаke Apple products wаs spоtted in China. Inside it lооks like а genuine Apple store but it's not. Bу thе wаy, Applе nеvеr writes Apple Store оn its signs it just puts up thе glowing, icоnic fruit.
MS hawana maduka inje ya US kama sikosei na product yao ni software na mapato yao zaidi wanapata kwenye leseni wanazolipwa kwa makampuni kama toshiba na hp wanapotengeneza computer na kuweka MS windos vista au w7
Mkuu usiulize hvyo! Those chinese wameinvest pakubwa tu katika kufake hzo apple, sasa wewe usibeze kufake apple products kana vile hailipi! Kuna wa2 kibao ambao hawawezi kuafford genuine apple products, na wanapenda kuonekana "kisharobalo" na laptop ama simu yenye nembo ya "epo"! lolz