Jamani tukue kimawazo na kifikra sio kukua miili tu, wakati vichwani kumejaa ujinga mtupu! na hii inafanya viongozi mafisadi kutuona watu tusio na madhara kwao ktk mbinu na mipango yao ya kukamua mali za nchi hii,maana wenye mali wao ni ngono tu! WATANZANIA LET US CHANGE!