Kwa taarifa tulizopata sasa hivi ni kuwa kuna hoteli ya Fair Mount iliyopo Zanzibar inaungua, kwa wenye kuwa maeneo ya Zanzibar tafadhali tupeni zaidi.
9 Nov 2009
There was a fire last evening at Fairmont Zanzibar. Fortunately no one was injured during the incident. We have decided to close the resort while we fully assess the situation and subsequently repair the extensive damage to the various public facilities. We do not anticipate reopening until mid 2010 at the earliest.
Current guests and guests with future bookings will be moved to alternate accommodations. Please institute a stop sell on the resort until further notice.
Nadhani serikali inatakiwa kufanya kitu. Haya matukio ya kuuungua kwa hizi hoteli za kitalii si habari njema hata kidogo. Kwa hoteli kubwa kama Fairmont kufungwa kwa miezi sita, ni hasara kubwa kwa taifa na wafanyakazi pia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.