Kama ni kweli ni jambo la kusikitisha kwa mashabiki wa Simba wa upande wa Bara ila laku kufurahisha kwa upande wa Zanzibar.
Eneo la kuchezea la uwanja wa Ben Mkapa lilisha Expire kwakua Tangu uwanja ujengwe haijawahi kuguswa kwa ukarabati.
Wakulaumiwa ni Serikali kwa uzembe wa kushindwa kuliwekea budget ya ukarabati wa pitch.
Simba nao wanahusika kwa kuharakisha uchakavu wa eneo la kuchezea kwa muda mwingi kuchimba eneo ilo kufukia makafara yanayo sababisha nyasi kuwa za njano na ata zikimwagiliwa na kuwekwa mbolea katika baadhi ya maeneo ya uwanja hazziwi za kijani.
Kama waandishi watabahatika siku eneo ilo litakapo chimbwa kwaajili ya ukarabati waombe nafasi ya kushuhudia kuona vitu vitakavyo fukuliwa na kuvipiga picha watapatwa na mshangao
Mwaka 1992 Uwanja wa taifa (Shamba la Bibi ) una fukuliwa eneonla kuchezea kwa mara ya kwanza kupisha ukarabati ilionekana mifupa ya makafara ya aina mbalimbali iliyo fukiwa.
Simba ni vinara wa uharibifu wa viwanja vya nyasi Asilia na bandia kwa kufukia makafara.
Angalizo: kwakua Simba wanatumia uwanja wa KMC kama uwanja wa nyumbani katika ligi ya NBC basi wahusika wa uwanja wa KMC wategemee eneo la kuchezea halitafika miaka mi tano litakua halifai.