Failures find excuses outside their self and always blame outside forces | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Failures find excuses outside their self and always blame outside forces

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ntemi Kazwile, Feb 7, 2011.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hatua ya Kiwete kuanza kutupa lawama kwa wapinzani wake juu, hasa hasa Dr Slaa na Chadema kwa migogoro inayojitokeza Tanzania ni dalili za wazi kwamba tumempatia kazi asiyoiweza. Kikwete anataka Watanzania na wanaCCM waamini kuwa migomo yote kwenye vyuo vikuu na sehemu zinginezo, kupanda kwa bei, kushuka kwa makusanyo ya serikali, kumomonyoka kwa maadili serikali na matatizo mengine yanayoikabili nchi hii yanachochewa na wivu wa Dr Slaa na Chadema kwa kushindwa uchaguzi mkuu 2010, ambao walidhani kuwa wangeshinda.
  Anataka tuamini pia kuwa serikali kushindwa kutekeleza bajeti ya mwaka 2010/2011 inasababishwa na wivu wa Dr Slaa na Chadema.
  Anataka tuamini pia kuwa kushuka kwa ubora wa elimu kuliko dhihirishwa na ufaulu wa chini ya asilimia 5% (yes less than 5% of those who sat for 2010 CSEE got division I & II) pia kulisababishwa na wivu wa Dr Slaa
  Anataka tuamini pia kuwa mikataba mibovu inayoitesa serikali yake kama vile ya Dowans/Richmond, RITES, n.k. ni matokeo ya wivu wa Dr Slaa.

  Watu wa namna hii, wale wanaodhani kuwa ni Malaika na hawawezi kuwa sehemu ya matatizo, ni watu wanaoitwa kwa kiingereza FAILURES!

  A failure would not accept his/her own part in contributing to things not happening the way they should, a failure would always find excuses in the weather, politics, others, and even blame God!
  Failures never accept nor take responsibility in their own failings, they will always find a scap goat, Kikwete is proving to be one of a BIG TIME FAILURE! I am sorry to say it but he is failing himself and the nation big times!

  Tuombe Mungu mvua zinyeshe kwani ikiwa kutatokea upungufu wa chakula nchini, Kikwete atapata kisingizio cha kutotekeleza bajeti na ahadi lukuki alizotumwagia wakati wa uchaguzi!
   
 2. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  :clap2: Said it all Nyambala.
  Bora yule Mwenyekiti wa HAlmashauri ya Sumbawanga aliyejipima na kugundua kuongoza halimashauri hawezi akamua kuachia ngazi. Mwenyekiti wa chama cha kijani hajui kama hana uwezo, hajui hata kama anahitaji msaada na hajui kama anahitaji kujua. ye cha msingi anaitwa rais.
   
 3. doup

  doup JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2011
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  pia mvua isiponyesha atalaumu "wivu wa Dr.Slaa", makubwa haya!
   
 4. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tuombe Mungu isiponyesha tutegemee kauli za kioga na kizandiki zinazofanana na hiyo!
   
Loading...