Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
- Thread starter
-
- #81
Kozo Okamoto acha umbea lakini wenzo wanagombezwa na bosi huko
cha kufia nini wakati miguu ninayo?
ha ha ha unapenda kulipiza kisasai kesho fail linaptikana ukirudi tu kila mtu kakununia ofisini utakomangoja wakione na wao,mi ndo nife njaa na familia wao wanapeta tu
Tatizo sio uhandsome wa sura kaka. Ni uhendisamu wa mfukonimbona mi handsome boy wa familia mkuu?
Atajua tu kwenye hii nchi ya blah blah!!!!hajui sasa mwenzetu
Atajua tu kwenye hii nchi ya blah blah!!!!
Tatizo sio uhandsome wa sura kaka. Ni uhendisamu wa mfukoni
Mfundishe mwenzio
ha ha ha unapenda kulipiza kisasai kesho fail linaptikana ukirudi tu kila mtu kakununia ofisini utakoma
kumbe we ni mdomoni tu vitendo sifuuri
bora iwe hivyo tu wangu.akininunia mke wangu hapo itakuwa kazi but wao,haina shida kabisa
ndiyo mmoja waponae wale wale,cjui mfanya kazi wa masjala na yeye
sawa kaka Kozo Okamoto
ndiyo mmoja wapo
Kizaizai mpe somo huyu mjapani KOZO OKAMOTO jina lake baya halafu anaingia ofisi ya wamama waliovaa mawigi ya kizamani na sketi fupi halafu anawapa shikamoo. anafikiri shikamoo inaliwa. Angeanza na HABARI GANI WAREMBO faili lingetoka fasta na mida hii angekua amechukua mpunga na kuelekea ROSE GARDEN
wanakera kweli,kuna wakati nilikuwa namuhamisha waifu kutoka mkoani kuja hapa mjini.yeye ni ticha.hadi namaliza shughuli za uhamisho tulikuwa tumeshafungua mafaili mapya 5.yaani leo hili halionekani,tunafungua jipya tunapiga fotokopy mi particulars yake tunaiweka humo faili linatembea.hadi mwisho wa siku faili tano
He he he, nani anataka sketi iliyo katikati na magoti na ankle? Miguu inakuwa chelewa kabisaaa.