BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
True brother. very true.Ni kitu ambacho kinawaweka wote pamoja Karibu na Mungu na huongeza hicia na upendo kwa maana kila mmja wetu hupenda Mchumba mcha Mungu
True heaven"PRAY TOGETHER, PRAY FOR EACH OTHER, THEN SLAY TOGETHER"
Kwel kabisa valentina.
Huu ni uzi safi sana.
Unfortunately, me and my wife worship in different denominations. Nimejaribu kwenda kanisani kwake 5-6 times, but hakuwahi kuja kanisani kwangu. Ndoa yetu ina 5 yrs nw ila yeye amewahi kusali kanisani kwangu MARA MOJA TU....!!! Tena baada ya jana yake kugombana sana khs kutokusali pamoja. It hurts me, a lot, na nimeamua kuliacha hilo suala kma lilivyo cz nikikumbuka tulivyogombana wkt wa kulazimishana kwenda kanisan siku ile, ni bora nikaacha.
Ndoa yetu ina mtoto mmoja na mama yke amejitahidi kufanikisha awe anasali nae. Sikuona kma big deal cz I dont think kma iko poa kuanza kugombania mtoto aabudu kanisa gani.
Kuna umuhimu sana kuabudu pamoja before marriage ili kuondoa mambo kma haya. Yanatesa
Dah pole.Huu ni uzi safi sana.

Huu ni mfano hai mzuri...Huu ni uzi safi sana.

It creates a very special bond.Kama wote mnaabudu na kuamini Mungu mmoja sioni shida ya nyie kutosali pamoja. Anzisha utaratibu wa kuomba pamoja nyumbani sio kuongozana mguu kwa mguu kanisani. Anza asubuhi mnapoamka mwambie mke wangu njoo tuombe mtaendelea hivyo na mtabarikiwa.
Mkuu usikate tamaa Mungu atakupa WA KUFANANA NA WEWENgoja nipite tu maana ata wa kusingizia sina