Tiba salama
Member
- May 20, 2018
- 28
- 24
Uyoga mwekundu au ganoderma ni aina mojawapo ya uyoga ambao ni mgumu na wenye ladha uchungu umekuwa ukitumiwa kwa miaka mingi na nchi kama vile China kama dawa na kuboresha afya kwa ujumla kutokana na idadi kubwa ya virutubisho vilivyomo katika uyoga huu.
Uyoga huu unaaminika kwa kusaidia kuondoa uchovu, husaidia wenye presha, kujenga afya bora na kungeza kinga mwilini n.k. Ganoderma inaonyesha matokeo mazuri katika kupunguza kiwango cha kolestro (lehemu) na kupunguza matatizo yanayotokana na mizio.
Utumiaji wa mara kwa mara wa virutubisho vya kuongeza kinga kwa watu wenye saratani, uyoga mwekundu (ganoderma) umeonyesha kuimarisha kinga ya mwili kwa haraka zaidi na vile vile kupambana na uzalishwaji wa seli zinazosababisha saratani na virusi.
Tafiti mbalimbali zilizofanyika zimebainisha kuwa matumizi ya mara kwa mara ya bidhaa zilizotengenezwa kwa kutumia uyoga mwekundu (ganoderma) yanaweza kuongeza kiwango cha utoaji sumu mwilini na kuulinda mwili dhidi ya magonjwa na kuzeeka.
Aidha uyoga huu pia umeonyesha matokeo mazuri katika kupambana na maambukizi katika njia ya mkojo.
Hizi ni baadhi tu ya faida za uyoga huu. Karibu ujipatie virutubisho vilivyotengenezwa kwa njia ya kisasa kwa kutumia uyoga mwekundu. Virutubisho hivi viko katika mfumo wa vidonge vitakavyokuwezesha kuboresha afya yako kwa ujumla.
Tuwasiliane Cmu nambar
0659505081
View attachment 893157