Faida za sumu ya nyuki anapokuuma

Fata Nyuki ule Asali...

Hizi ndudu sio rafiki Maumivu yake ni hatari Nilipokuwa mdogo nilikomoshwa na mmoja tu... ila Nishang'atwa na Wadudu kadhaa Akiwepo Nyigu na Dondora Nyuki ndio kiboko yao... Nyuki Maumivu yalienda siku kadhaa but Nyigu Nililala na Maumivu asubuhi yake yaliisha...

Ila Kuna Mdudu mdogo sana saizi anamzidi sisimizi kama six times hivi na ana vibawa akiwa chini akitembea au kwenye majani ana speed furani hivi alining'ata Makaburini nilienda Mazikoni ya Rafiki yangu sindano yake iliniuma na kuwasha sana niliminya ngozi ya Shingo kauvimbe kakatokea na eneo lote likachange rangi na kuwa red hivi ndito hadi baada ya wiki panawasha tu kidogo imepita miezi mingi juzi pameanza kuwasha tena i don't know why? yaani mmeanza kuzungumzia tu Nyuki ndio memory imerudi... hivi yaweza kuwa sindano haijatoka au nini hiki cha Maajabu wadau....:mad:
 
Mm nitaandaa mazingira
Kisha nitatoa huduma kwa Wagonjwa
Ikiwa utahitaji,nitaomba unitafute Chief
Ni kipindi cha kutumia dawa asili
sawa kijana ukumbuke kututumia picha yako ya kila mwezi wakati unapokea hiyo dawa kutoka kwa nyuki
kwaajili ya uhamasishaji tuu
 
Kuumwa na Nyuki kungekua kunaponyesha Ukimwi, hakuna ambaye angeogopa !
 
Back
Top Bottom