klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Hehehee, wabongo wasivyopenda maharage. Acha sie tuliozoea tuendelee kufaidi.
wewe kachkue kilo moja kidukani kwa uporoto , nitalipia mimiHehehee, wabongo wasivyopenda maharage. Acha sie tuliozoea tuendelee kufaidi.
Hivi kwa nini wanaume wengi (na watoto) wanapenda hii combination? Wali maharage...hivi kuna mbongo asiependa wali na maharage?
sidhani aisee
hivi kuna mbongo asiependa wali na maharage?
sidhani aisee
wewe kachkue kilo moja kidukani kwa uporoto , nitalipia mimi
Mbona mimi najua wengi hawapendi, atleast nnaowafahamu mimi.Wakisikia maharage wanaywea, ukitaka kuwafurahisha wakarangizie nyama au samaki.
Nimefulia mama, nimefulia! utaniuwa jamaniMoja tu?
Nataka mbili.Alafu weekend inabidi nitoe kitu cha makande. . .sijui ntapata wapi parachichi zuri la kushushia.
Senksi nurse wangu, Hapo kwenye protein pia wanasemaga inasaidia nywele kuwa strong, yaani maharage nimeyafanyia research ya nguvu kuliko research ya kutafta mchumba.Dr Kloro,asante sana. Umesahau faida kuu, ni chanzo cha protini ambayo hujenga mwili(suala #3). Ila maharagwe ya soya pekee ndo 1st class protein sawa na nyama.
Nimefulia mama, nimefulia! utaniuwa jamani
umeona RR alivyouliza hapo juu?
tupo wengi mno wa wali na maharage...
mimi nyama sipendi kabisa....
by the way mnayajua maharage meupe makubwa makubwa hivi?????acha mchezo hayo
Senksi nurse wangu, Hapo kwenye protein pia wanasemaga inasaidia nywele kuwa strong, yaani harage nimelifanyia research ya nguvu kuliko research ya kutafta mchumba.
Mkuu kiduka chenyewe kinakwenda kwa sadaka za kanisa na miskiti, tukikopa jamaa atalazimika kurudi poriinimkuu ukifulia kwani Uporoto hakopeshi?
wewe kopa tu kwa Uporoto.....
Nimefulia mama, nimefulia! utaniuwa jamani
Lol! Hapo kwenye nywele ndo unamsifia lizzy wako kisirisiri eeh? Faida nyingine ya maharagwe mi naogopa kuitaja banaa!
Lol! Hapo kwenye nywele ndo unamsifia lizzy wako kisirisiri eeh? Faida nyingine ya maharagwe mi naogopa kuitaja banaa!
Haya ntanunua mwenyewe basi. ( Mianaume mingine bana. . . hovyooooo!)
Mimi mwenyewe napenda vyakula vingi na maharage isipokua ugali, labda kuwe na mboga za majani pembeni.Ila asilimia karibu tisini ya ndugu na marafiki zangu hawapendi kabisa.