Unamiliki shule?Wadau embu nipeni faida za kuzaa mara kwa mara maana mwenzi wangu ananiambia nimpe mimba angali tuna mtoto na naona garama huwa zinakuwa kubwa kidogo toka ujauzito mpaka mtoto kufika 2yrs. Je mnanishaurije wadau. nimpe kitu au nimwambie afate family planing?. mtoto wetu wa kwanza ana 3yrs.Je kuna faida gani ya kuwa na watoto wengi?
Kama ni family planning basi watoto hutakiwa wapishani miaka 3 sasa khofu ya nini? ukimjaza sasa hivi basi watapishana zaidi ya miaka 3.5 huyo mama yuko right mpige bao jengine usiogope gharama kila mja ana rizki yakeWadau embu nipeni faida za kuzaa mara kwa mara maana mwenzi wangu ananiambia nimpe mimba angali tuna mtoto na naona garama huwa zinakuwa kubwa kidogo toka ujauzito mpaka mtoto kufika 2yrs. Je mnanishaurije wadau. nimpe kitu au nimwambie afate family planing?. mtoto wetu wa kwanza ana 3yrs.Je kuna faida gani ya kuwa na watoto wengi?
Zipo faida nyingi, lakini kubwa ni kuwa mzazi wa watoto: mkeo yupo sahihi kabisa, usipuuze maneno yake lakini kuwa makini, Mimi nikiwa kijana aliyekwenda shule nina uwezo wa kumtolea sababu zifuatazo: 1.ANAWEZA AKAWA AMECHEPUKA NJE NA AKAWA AMEPEWA NA MTU MWINGINE SASA ANATAKA AKUKAMATISHE, HAKIKISHA HUMPI SASA HIVI, MPE BAADA YA MIEZI KADHAA NA KABLA HUJAMPA NENDA KAMPIME. 02.ANAWEZA AKAWA ANATAMANI KUPATA MTOTO MWENYE JINSIA TOFAUTI NA ALIYEPO 03.ANATAKA AZAE MAPEMA NA AMALIZE ILI APUMZIKE, HII SAA ZINGINE INASHINIKIZO KUTOKA KWA MARAFIKI ZAKE 04.ANAWEZA AKAWA AMEAMUA TU KUKUFANYIA SUPRISE KUONESHA ANAKUPENDA SANA 05.HAJAKUELEWA UNA MPANGO GANI? KAMA MTOTO ANA MIAKA 3 NA YEYE UMRI UNASOGEA HALAFU HUONESHI JITIHADA ZA KUMSABABISHIA......................... NIITE VON MO, SHULE SIYO MAKARATASI, SHULE NI UCHAMBUZI WA MAMBO KWA KINA, KUNA TOFAUTI KATI YA ULEVI WA POMBE NA SIGARA INGAWA SITUMII VYOTE KWA MPIGO, ....GUDLUCKY MENWadau embu nipeni faida za kuzaa mara kwa mara maana mwenzi wangu ananiambia nimpe mimba angali tuna mtoto na naona garama huwa zinakuwa kubwa kidogo toka ujauzito mpaka mtoto kufika 2yrs. Je mnanishaurije wadau. nimpe kitu au nimwambie afate family planing?. mtoto wetu wa kwanza ana 3yrs.Je kuna faida gani ya kuwa na watoto wengi?
Kumbe mkuu tpmazembe una mtoto sikutegemea kama ungetoa maneno kama yale eti mtu aliejifungua mtoto wa kike hastahili pongezi dah may God forbid this. Mtoto ni mtoto najua kwa wanaume sisi tunapenda sn baby boy bt we should remember that there are many people who needs children bt they lack ability ya kuzaa so tunatakiwa tumshukuru Mungu kwa kila kitu.
Kama first born ni wakiume, basi endelea kuzaa mana hao ndo WATOTO ila kama mkeo amekuzalia mwanamke kataa kumzalisha bwana, atakuletea hasara tu nyumbani :behindsofa:Wadau embu nipeni faida za kuzaa mara kwa mara maana mwenzi wangu ananiambia nimpe mimba angali tuna mtoto na naona garama huwa zinakuwa kubwa kidogo toka ujauzito mpaka mtoto kufika 2yrs. Je mnanishaurije wadau. nimpe kitu au nimwambie afate family planing?. mtoto wetu wa kwanza ana 3yrs.Je kuna faida gani ya kuwa na watoto wengi?