Faida za kuwa Single.

Faida za kuwa Single.

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,198
Kuna faida Nyingi za kuwa Single zifuatazo ni baadhi tu.

1:unalala kitanda chote mwenyewe unagalagala utakavyo.

2:unakula zako mwenyewe.

3:unajamba kwa uhuru ndani.

4:unanepa ukiamua kwa sababu No stress.

Hasara kubwa ni kwamba
neno bby unalisikia kwenye movie hasa za wazungu wakiwa na watoto.


Zero Iq
 
Back
Top Bottom