Wewe wasema. Mimi napiga JAVA, PHP, .NET wewe usidangaye watu ulimwengu hata sikumoja hautahamia kwenye open source. Angalia Sun Macrosystems imenunuliwa na Oracle kwa maana hiyo Mysql sio open source tena.Mkuu wewe ndio muongo wa kutupwa Mimi pia ni programmer niliyebobea kwenye java na php na huwa nafanyia kwenye Ubuntu sasa inaelekea wewe ni victim wa .net ndio maana unainyenyekea mkuu dunia inahamia kwenye open source ohoooooo!!!!!! Na application nyingi ni web based Microsoft kwisha habari yake
Mkuu juzi juzi nilikuwa Holland wengi wao wameconvert ma system zao kwenda non proprietor platform kwaajili ya freedom na cost ohoooo!!!!! mkuu ng'ang'ania .NET ikutoe roho Ulaya wameshabadilika mkuu wewe ng'ang'ania Microsoft kama masecretary kwi! kwi! kwi! kwi! kwi! teh! teh! teh! halafu mimi sizungumzii website nazungumzia webbased application after all sikuhizi kuna Ma CMS mengi kama JOOMLA MAMBO na DRUPAL mpaka hii JF wanatumia PHPBB sasa Dreamweaver ya nini kuedit code? kwi! kwi! kwi! kwi! teh! teh! Natumia NetBeans na Eclipse. wewe unafanya kazi EXACT naona hata avatar yako ndio Logo za software zao na wale nawafahamu visoftware vyao wanatengenezea kwenye Access halafu unanidanganya unajua JAVA kwi! kwi! kwi! teh! teh!Wewe wasema. Mimi napiga JAVA, PHP, .NET wewe usidangaye watu ulimwengu hata sikumoja hautahamia kwenye open source. Angalia Sun Macrosystems imenunuliwa na Oracle kwa maana hiyo Mysql sio open source tena.
Ngonja nikuulize je Kuna website design application nyingine nzuri kama Dreamwever?
Acha uongo wewe! Usidanaganywe na siasa za ubuntu.
Hakuna haja ya kutambiana pasipo na sababu hebu visit site nilizo zitengeneza uzioneMkuu juzi juzi nilikuwa Holland wengi wao wameconvert ma system zao kwenda non proprietor platform kwaajili ya freedom na cost ohoooo!!!!! mkuu ng'ang'ania .NET ikutoe roho Ulaya wameshabadilika mkuu wewe ng'ang'ania Microsoft kama masecretary kwi! kwi! kwi! kwi! kwi! teh! teh! teh! halafu mimi sizungumzii website nazungumzia webbased application after all sikuhizi kuna Ma CMS mengi kama JOOMLA MAMBO na DRUPAL mpaka hii JF wanatumia PHPBB sasa Dreamweaver ya nini kuedit code? kwi! kwi! kwi! kwi! teh! teh! Natumia NetBeans na Eclipse. wewe unafanya kazi EXACT naona hata avatar yako ndio Logo za software zao na wale nawafahamu visoftware vyao wanatengenezea kwenye Access halafu unanidanganya unajua JAVA kwi! kwi! kwi! teh! teh!
Salute mkuu nimeona site yako imesimamaHakuna haja ya kutambiana pasipo na sababu hebu visit site nilizo zitengeneza uzione
Halafu na application zangu nilizozifanya
1. Nenda Tanroad kaulizie Application ya Datasychronization watakuambia.
2. Neda GTZ kaulizie System ya Baseline Study
3. Nenda Under the same sun Kaulizie application ya MISY
Hizo ni mfano tu na ukitaka unijue nitafute utajua kama am a programmer or not.
Tembelea kwenye website yangu ninayo imalizia Mawio Macrosystem.
Poa bwana tupo pamojaSalute mkuu nimeona site yako imesimama
Poa bwana tupo pamoja
Contact zipo kwenye website.Mkuu salute sana kama hutojali ningependa nikutafte
Mkuu juzi juzi nilikuwa Holland wengi wao wameconvert ma system zao kwenda non proprietor platform kwaajili ya freedom na cost ohoooo!!!!! mkuu ng'ang'ania .NET ikutoe roho Ulaya wameshabadilika mkuu wewe ng'ang'ania Microsoft kama masecretary kwi! kwi! kwi! kwi! kwi! teh! teh! teh! halafu mimi sizungumzii website nazungumzia webbased application after all sikuhizi kuna Ma CMS mengi kama JOOMLA MAMBO na DRUPAL mpaka hii JF wanatumia PHPBB sasa Dreamweaver ya nini kuedit code? kwi! kwi! kwi! kwi! teh! teh! Natumia NetBeans na Eclipse. wewe unafanya kazi EXACT naona hata avatar yako ndio Logo za software zao na wale nawafahamu visoftware vyao wanatengenezea kwenye Access halafu unanidanganya unajua JAVA kwi! kwi! kwi! teh! teh!
Hamna lolote wala usitishie jf ni phpbb wala hamna nyongezaUanichukulia jf kirahisi eeh eti phpbb, jf ni vbuletin halaf bei yake pasua kichwa hebu take ur time google kidogo
Kwani wewe unaichukuliaje phpbb?customization yake ni complex mkuu sio ndio maana jf wanaweza kuongeza features v bulletin ni proprietor platform hawana uhuru huoUanichukulia jf kirahisi eeh eti phpbb, jf ni vbuletin halaf bei yake pasua kichwa hebu take ur time google kidogo
Hamna lolote wala usitishie jf ni phpbb wala hamna nyongeza
Features zote za phpbb ndio zipo hapaHaya prove kama ni phpbb na mi niprove
Hamna lolote wala usitishie jf ni phpbb wala hamna nyongeza
Mkuu naona tunapoteza muda vbulletin imetengenezwa kwenye .net wakati jf mwishoni inaonyesha ni phpHii hapa link ya whois
Jamiiforums.com JamiiForums - Web Analysis
Tafuta whois yoyote duniani inayoonyesha ni phpbb ntakutumia ata vocha
Mkuu naona tunapoteza muda vbulletin imetengenezwa kwenye .net wakati jf mwishoni inaonyesha ni php
you are floating high buddy.i have seen it.the web is illest.Hakuna haja ya kutambiana pasipo na sababu hebu visit site nilizo zitengeneza uzione
Halafu na application zangu nilizozifanya
1. Nenda Tanroad kaulizie Application ya Datasychronization watakuambia.
2. Neda GTZ kaulizie System ya Baseline Study
3. Nenda Under the same sun Kaulizie application ya MISY
Hizo ni mfano tu na ukitaka unijue nitafute utajua kama am a programmer or not.
Tembelea kwenye website yangu ninayo imalizia Mawio Macrosystem.
hapo naweza pingana na wewe, installation ya software kwenye ubuntu ni simple than any
os maana kunastore ya apps wewe nikuingia na kuchagua software yako na kuinstall. Swala la user interface ubuntu unaweza ichange unavyotaka maana kuna desktop manager nyingi e.g. gnome shell, kde, xfce etc. Tatizo kubwa watu wengi walianza kutumia windows hivyo kuaccept new ui inakuwa vigumu.