Faida za kutovaa nguo ya ndani

Kuna member mmoja humu anapenda kuvaa zile za vikamba tu...Mungu ampe maisha marefu
 
Kwa mtazamo wangu mimi
KUVAA CHUPI AU KUTOKUVAA CHUPI HAINA HASARA WALA FAIDA

Kwasababu moja au nyingine,kwa mfano kwa mwanamke akikaa vibaya tu chupi ikaonekana,utasikia akiambiwa kaa vizuri upo uchi na asipo vaa chupi akakaa vibaya akaonekana ataambiwa kakaa uchi
Kwa wanaume ukijisahau tu kufunga zip yako ya suruali chupi ikaonekana itaambiwa Oyaa rekebisha hio suruali yako upo uchi,kama hukuvaa chupi utaambiwa upo uchi na kwanini usivae chupi?
Sasa hapo faida au hasara ya kuvaa ama kutovaa chupi ipo wapi??
Kaka Mshana naomba unisaidie kunifahamisha juu ya hili swala[emoji1321]
 
Uzi gani unaoongelea faida za kuvaa chupi
 
Hakuna kitu kibaya kama kulala na njaa huku unasikia pilau linanukia kwa jirani. Sipati picha hali yako ilikuwaje wakati jirani yako anamechika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mateso yalikuwa mengi usiku ulikuwa mrefu sana
 
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kilichojiri upande wangu!!? [emoji31] [emoji35] [emoji51] [emoji37]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…