Jamaa kasema PM, nadhani huko wapo wa kutosha....Hata mim natafuta Mpenz lakn sijui nianzie wap
Mleta mada huyooo,,??Halafu u look young
Nimekupa likeMm nikisex huwa nakuw na confidence sanaa ya kuongea mbele za watu .
Ushaur.ukiwa na mhadhara sehemu kutoa hotuba au unaenda kwenye interview au enda kweny mtihan ukishiriki tendo la ndoa utakuwa na confidence ya unachofanya
Ushuhuda nakumbuka nilikuwa nafanya paper ya geogy mwaka 2005 mda ukawa unakalibia kwisha nilipata pressure mpaka nika ejaculate baada ya hapo akil ilifunguka na peni ilikuwa inatembea kwa speed kalii nilifanikiwa kufaul hilo paper la nacte na pia ilijirudia nikiwa kidato cha sita pia hilo somo nilifaul vzr zaid kuliko mengine
Njoo basi PM, tupate hizo faida.Habar za weekend wana jf
Tushirikishane hapa faida za kushiriki tendo la ndoa kubwa ikiwa ni kuwezesha kupata watoto
1.Huondoa msongo wa mawazo
2.Huongeza presha ya damu
3.Huimarisha mahusiano
4.Huleta usingizi wa kutosha
5.Ni sehemu ya mazoezi
6.Huongeza nguvu ya kiume na uwezo wa kufanya tendo
7.Husaidia watu kuwa na furahaa baada ya tendo
Ndio maana watu hawaachi kwenda pm kusaka mapenzi
Anza kutafuta helaHata mim natafuta Mpenz lakn sijui nianzie wap
Hivi huko PM ndiyo sehemu gani namimi niende.Jamaa kasema PM, nadhani huko wapo wa kutosha....
kama ndio hivyo ngoja nije PM 😀😀 [emoji23] [emoji23]Halafu u look young
Mm nikisex huwa nakuw na confidence sanaa ya kuongea mbele za watu .