By Tamatheo

Kuna tatizo mahali, siyo hivi hivi.

hata mie nilikuwa kama wewe...

nilikuwa nawashangaa sana watu wanaokunywa pombe

naona wanapoteza hela pombe yenyewe chungu kumbe hata sio hivo......!!!!!!

sio kuwa nakuambia ujaribu ila najaribu kukuelewesha zaidi.