Faida za kupiga CHABO

mkuu unahakika gani sijawahi
 

tupe uhondo ni nini kulifuata!!!!
 
mngeingia kwenda kumchukua na bakora juu.
 
tupe uhondo ni nini kulifuata!!!!
Mshkaji wetu mpaka leo bado hajasahau, anajisikia mnyonge mno, lakini hawezi kufanya chochote. Baba yake alimuachaga mama yake kitambo na yeye alikuwa anaishi na mama yake, na mama alikuwa anamuhubiria mwanae kuwa baba yake alikuwa mkorofi ndio maana wakaachana. Baada ya huo mkasa jamaa akawa mtu wa kutafakari na kuwaza mno, haswa ukizingatia baba yake hajawahi kumueleza ni kwa nini aliachana na mama yake.
 
mngeingia kwenda kumchukua na bakora juu.
Mtamchapabakora mtu ambaye mnamuamkia shikamoo kwa adabu kila siku. Kwa vile yeye hakutuona ilibidi tuendelee kujifanya kama hatujui chochote kuhusu yeye.
 

Ni kama kuangalia pornographic movie... the only different, anayekula "deo" anacheki mambo "live" bila chenga wakati anayecheki movie, argggh!
 
Ni kama kuangalia pornographic movie... the only different, anayekula "deo" anacheki mambo "live" bila chenga wakati anayecheki movie, argggh!

kuna faida gani ya kumla deo mwenzio?
 
Chabo mbaya sana, JE UKIMKUTA DADAYAKO AU MKEO ANATO utafanyaje?
 
Inadhalilisha utu wa mhusika na kuondoa privacy za wengine.
 
[QUOT kule unguja ukikutwa unakula chabo kipigo ni kama mwizi


E=Naibili;5830964]hivi kama ni mdada, jamaa akikukuta umemaliza kupiga chabo si anashika mkono tu? maana mihemko itakuwa mahala pake[/QUOTE]
 
kuna starehe gani? wakati mpiga chabo ana wasi wasi utafikiri anaoga nje

huwezi kuijua starehe ya chabo kama hujapiga asee....!!!!!!
kupiga chabo ni raha jamani ni raha yani raha sana.
 
huwezi kuijua starehe ya chabo kama hujapiga asee....!!!!!!
kupiga chabo ni raha jamani ni raha yani raha sana.

Halafu Evelyn unajua mimi sikuelewi, yaani penye kadhia upo, penye utani upo labda umeamua kuonekana hivyo ili kuficha uhalisia wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…