Faida za kumtoa "OUT" umpendaye

Faida za kumtoa "OUT" umpendaye

Out ya nini, mwanamke akishazaa havutii tena tumbo kubwa, havai nguo za mitego hapana akae nyumbani alee watoto ntatoka na washkaji na wachuchu wenye matumbo flat

ikitokea nimemtoa tutatembea kama Bata mimi mbele yeye atanifata nyuma...alisikika mkulungwa akiongea peke yake.
Eti mkulungwa ni ya Kweli Ayo?[emoji4]
 
Out ya maana mpeleke mwenzio MARBELLA spain, South Beach USAau hata PATAYA thailand
Akatembee Akajionee watu wanavoishi duniani.

Hizo out zenu za kupelekana pale kitambaa chekundu zimepitwa na wakati[emoji4]
 
Out ya nini, mwanamke akishazaa havutii tena tumbo kubwa, havai nguo za mitego hapana akae nyumbani alee watoto ntatoka na washkaji na wachuchu wenye matumbo flat

ikitokea nimemtoa tutatembea kama Bata mimi mbele yeye atanifata nyuma...alisikika mkulungwa akiongea peke yake.
Kujiimbia harmonize "eeh, huo ni ushamba"

Vitu vingine ni vya kiduwanzi, nisipomtoa mama chanja nikamtoe nani, yeye ndio kakuzalia watoto wako, chuchu hizo hizo zilizolala ndio kakunyonyeshea watoto, ndio maana kwenye dini ya kiislam "inapaswa umlipe mkeo kwa kukunyonyeshea watoto wako"

Kwa kweli mungu aninyime mawazo mgando kama ya baadhi ya hao wakulungwa.
 
Mama chanja wa nini piga chini kwenye mitoko, toka na washkaji wachuchu wapo wa kumwaga watoto lainiii watoto sambusa, mayai watoto kachori
 
Back
Top Bottom