Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,392
- 7,873
Hawana shida ila usitafune mifupa...!!Kuku hawahawa wasojitambua.?? Broilers,.[emoji849]
Safi mkuu, kitimoto haifai...[emoji3]View attachment 2023264
Mkuu umejuaje nimeangusha ndege leo?
Hapa getto leo ni supu tu,halafu nawatafuta wadau wapo busy.Huyu ni wa kienyeji yani wale wanaofunguliwa kwenda kujitafutia chakula huko.Huku kijijini raha sana.
Zingatia isiwe nyama nyekunduVipi kwa sisi ambao tunatumia nyama ya porini?
Yale madawa yanakimbilia kwenye mifupa kwahiyo usitafune mifupa, wee kula nyama tuu!Kuku wa Aina gan sasa Hawa broiler wik mbili Tayar kwa matumiz
Nyama pori ipo vemaVipi kwa sisi ambao tunatumia nyama ya porini?
Powa mkuuYale madawa yanakimbilia kwenye mifupa kwahiyo usitafune mifupa, wee kula nyama tuu!
Nyama nyeupe ni ipi?
hii ni nyama ambayo ikichinjwa inakua na rangi nyeupe kabla ya kupikwa mfano halisi ni nyama ya kuku, bata, mbuni, ndege wote na samaki aina zote.
nyama nyekundu ni ipi?
hii ni nyama ambayo ikichinjwa inakua na rangi nyekundu kabla ya kupikwa, mfano ni nyama za wanyama wote kama nguruwe, mbuzi, ng'ombe, na kadhalika.
kumekua na mijadala na maswali mengi kutaka kujua faida hasa za nyama hii nyeupe ukilinganisha na ile nyekundu naleo ntazitaja faida hizo kwa kifupi..
upatikanaji wa virutubisho muhimu vya siku kwani nyama nyeupe ina mafuta kidogo, vitamin, protini na nguvu kwa ajili ya shughuli za kila siku.
nyama hizi zina amino acid nyingi ambayo ni muhimu kwa ujenzi wa seli za binadamu na ukuaji wa nywele kwa ujumla.
nyama hizi zina mafuta kidogo sana ambayo sio hatari kwa afya ya moyo na mfumo mzima wa mwili wa binadamu.
nyama samaki ina kemikali inayoitwa omega 3 ambayo haitengenezwi na miili yetu lakini ni muhimu sana kwa kupunguza kiasi cha lehemu au cholestrol mwilini.
nyama ya kuku ina kiasi kikubwa cha selemium ambayo ina kazi ya kuzuia saratani mbalimbali kwenye miiili yetu.
nyama nyeupe ni nzuri sana kama ikitumika kama sehemu ya diet kwa ajili ya kupunguza uzito kwani ni laini na mwili unaimeng'enya kirahisi sana.
samaki ina vimelea ambavyo ni muhimu sana kwa ajli ya kuzuia tatizo la kusahau sana uzeeni ambalo tafiti zimeonyesha kwamba nyama nyekundu huchangia kwa tatizo hili,
kiasi cha phosphorus kipatikanacho kwenye samaki ni muhimu sana kwa ajili ya kusaidia macho yaendelee kuona vizuri.
nyama nyeupe inaweka kiwango cha sukari mwilini katika hali nzuri sana na inaweza kuwafaa sana wagonjwa wa kisukari.
nyama hii haikai sana tumboni ukilinganisha na ile ya mayai hivyo huweza kuzuia tatizo la saratani ya utumbo ambalo ni kubwa sana kwa watumiaji wa nyama nyekundu.View attachment 2023100
Sio miguu tuu, mpaka vichwa na utumbo yaani hakitupwi kitu....!!!
Ok ubarikiwe na muda mrefu sana sijatumia ngombe na mbuzi zaidi ya miezi 7Nyama pori ipo vema
Mkuu kwani unadhani hizi faida sisi hatuzijui? Sema kipato ndiyo shidaNyama nyeupe ni ipi?
hii ni nyama ambayo ikichinjwa inakua na rangi nyeupe kabla ya kupikwa mfano halisi ni nyama ya kuku, bata, mbuni, ndege wote na samaki aina zote.
nyama nyekundu ni ipi?
hii ni nyama ambayo ikichinjwa inakua na rangi nyekundu kabla ya kupikwa, mfano ni nyama za wanyama wote kama nguruwe, mbuzi, ng'ombe, na kadhalika.
kumekua na mijadala na maswali mengi kutaka kujua faida hasa za nyama hii nyeupe ukilinganisha na ile nyekundu naleo ntazitaja faida hizo kwa kifupi..
upatikanaji wa virutubisho muhimu vya siku kwani nyama nyeupe ina mafuta kidogo, vitamin, protini na nguvu kwa ajili ya shughuli za kila siku.
nyama hizi zina amino acid nyingi ambayo ni muhimu kwa ujenzi wa seli za binadamu na ukuaji wa nywele kwa ujumla.
nyama hizi zina mafuta kidogo sana ambayo sio hatari kwa afya ya moyo na mfumo mzima wa mwili wa binadamu.
nyama samaki ina kemikali inayoitwa omega 3 ambayo haitengenezwi na miili yetu lakini ni muhimu sana kwa kupunguza kiasi cha lehemu au cholestrol mwilini.
nyama ya kuku ina kiasi kikubwa cha selemium ambayo ina kazi ya kuzuia saratani mbalimbali kwenye miiili yetu.
nyama nyeupe ni nzuri sana kama ikitumika kama sehemu ya diet kwa ajili ya kupunguza uzito kwani ni laini na mwili unaimeng'enya kirahisi sana.
samaki ina vimelea ambavyo ni muhimu sana kwa ajli ya kuzuia tatizo la kusahau sana uzeeni ambalo tafiti zimeonyesha kwamba nyama nyekundu huchangia kwa tatizo hili,
kiasi cha phosphorus kipatikanacho kwenye samaki ni muhimu sana kwa ajili ya kusaidia macho yaendelee kuona vizuri.
nyama nyeupe inaweka kiwango cha sukari mwilini katika hali nzuri sana na inaweza kuwafaa sana wagonjwa wa kisukari.
nyama hii haikai sana tumboni ukilinganisha na ile ya mayai hivyo huweza kuzuia tatizo la saratani ya utumbo ambalo ni kubwa sana kwa watumiaji wa nyama nyekundu.View attachment 2023100
Mkuu sio lazima kila siku hata siku moja moja siku hazifananiFaida tunazijua sema hela sasa ya kula hao kuku ndiyo
Mkuu kwani unadhani hizi faida sisi hatuzijui? Sema kipato ndiyo shida
Sahizi wanatupa manyoya tuSio miguu tuu, mpaka vichwa na utumbo yaani hakitupwi kitu....!!!
Upo sahihi mkuu.Sahizi wanatupa manyoya tu