Faida za kuishi bila michepuko

Faida za mchepuko:

-Unakirimiwa kama mfalme pindi unapoingia kwenye anga lake ni mwendo wa kubembelezwa tu kama mtoto.

-Unagonga mda wowote ukitaka huduma ni 24/7 na ushirikano ni 100% mchepuko anaonesha mahaba katika kiwango cha 4K!

-Anapenda uwe na amani ya moyo muda wote unapokuwa nae hawezi kutumia lugha za kishenzi kama mke mwenye mazoea ya kijinga.

-Anakusaidia kutolilia tunda kila siku kwa mke pale nyumbani na kukuepusha na fedhea za kupangiwa ratiba ya kula mbususu mwisho unaonekana boya.

-Anasaidia kuepuka stress za mke sababu unakuwa huna time nae hata akiongea upuuzi matokeo yake mke anaongeza hali ya kukumiss zaidi na kuimarisha ndoa.

-Kama mchepuko una mawe unasaidia kwenye assist za hapa na pale ukikwama.

-Anaweza kwenye kukujenga kimawazo na kimichongo kama ni mtu mzima kidogo
 
Legendary
 
Huwa nikitoka kuchepuka huwa napiga show ya kibabe sana hadi wife anakimbia. Maana nakua nalitafuta la 3 na mara nyingi huwa haliji hata nikeshee
Wife anakimbiaa???

Anakuzuga tuu wewe ndie unayeumia
ila hujijui ila wewe unaona unamkomoa
unajidanganya wewe stuka baki njia kuu...!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kila mchepuko ni mbaya na una nuksi hapana .....sema wewe mwenzetu michepuko yako unaiokota tu ndio maana hivyo.....ila ukija kukutana na mchepuko unao jielewa Nini unafanya aisee ujiona mfalme Sana haya maisha .


Tafuta michepuko inayo jielewa na sio kujizolea zolea tu ili mradi ni mtu Ana mbususu.
 
For the record, wanawake hawajali sana kuhusu wewe kuchepuka kwasababu hata usipochepuka ndio unamfanya awe suspicious na wewe na kukosa amani na ww.
.
Anyway kucheat sio poa.
 
Swali, Je mwenza wako HACHEPUKI?

Je ukija kujua kuwa alikuwa anachepuka muda wote huo uliokuwa nae na ww kujizuia kufanya hilo utajiskiaje?
 
Ubarikiwe sana mtumishi kwa mawaidha yako mazuri.
 
Muda wa kukaa na familia yangu ninao na maendeleo ninayo yakutosha na mchepuko ninao hapo unasemaje
 
Mkuu ENDELEA na huyohuyo mchepuchepu ukijichanganya na michepuko yatakukuta yaliyomkuta kanga kukosa manyoya mkiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…