Faida za kua na wi-fi router zenye ubora na speed nzuri

ZOYA internet

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
202
Reaction score
384
Wadau najua wapo watu mnaotafuta wi-fi router nzuri huku so nimeona niwaletee uzi huu huenda ukawa msaada kwa wengine.

FAIDA ZA KUWA NA WI-FI ROUTER ZA TIGO (YAS)

Ndugu yangu kua na hii wi-fi router kuna faida nyingi sana, kama unajiweza kidogo, jitahidi usikose kifaa hiki.
1. Ukiwa na wi-fi unaweza kukuza biashara yako. kwasababu wateja watapenda kuja ofisin kwako wakijua kuna free wi-fi, pia wewe utakua huru kupost biashara zako mtandaoni ukiwa hauhofii kuishiwa bando mana wi-fi router za tigo zina bando unlimited na speed yake ni kubwa.
2. Kuokoa gharama za bando. Ukweli ni kua bando za kawaida zinaumiza sana mana ukipiga hesabu ya gb 1 kwa 2100 mfano ikiwa kwa siku unatumia gb 1 basi kwa mwezi unatumia 63000. pigia mara watu wote mliopo kwenye ofisi, taasisi au nyumbani kwenye familia yako na majirani, ukizidisha utakuta hela ni kubwa sana mnayotumia. Kukata hizo cost zote mngechukua wi-fi router ya tigo mana inaunganisha hadi watu 64, yani watu 64 wote mnatumia bando unlimited

3. Wi-fi router za tigo zina speed kubwa na zina technology ya 5G pia hazisumbui au kukata katikati ya mwezi, speed kuanzia 20mbps hadi 200mbps hivyo utakua na stable internet connection mda wote.
4. Kifaa ni portable yani kinabebeka kirahisi unaweza kuhamisha, mfano kutoka ofisini kwenda nyumbani kwenye gari unaweza kutembea nacho huku wi-fi ikiwa inafanya kazi. Pia kifaa kinasambaza wi-fi eneo kubwa, zaidi ya mita mia moja

BEI NA UTARATIBU WA MALIPO.
Utaratibu wa malipo upo wa aina mbili, utaratibu wa mara ya kwanza unapohitaji wifi na utaratibu wa kulipia kila mwezi.

UTARATIBU WA MARA YA KWANZA.
Mara ya kwanza unalipia kiasi cha sh.250,000, kiasi hicho ni kwaajili ya kupatiwa kifaa(router) pamoja na bando unlimited lenye speed ya Mbps 100. Pia utapewa offer mwezi unaofuata hautalipia, kwahiyo ukishatoa hiyo 250000 miezi miwili yote utatumia wi-fi router yako bila kulipia, utaanza kulipia mwezi wa tatu na kuendelea.

UTARATIBU WA KULIPIA KILA MWEZI
Kila mwezi utakua unalipia laki moja, hii ni kwa speed ya 20mbps (inawezatosha kabisa kama mtakaokua mnatumia wifi hamzidi 20) au 150,000 kwa mbps 50(kama mnaoenda kutumia wi-fi ni wengi zaid ya 20) pia kama unahitaji speed kubwa zaidi ya hapo kuna 200,000 Mbps 100 na 400,000 mbps200. Uzuri ni kua malipo ya kila mwezi unaweza kulipia kidogo kidogo hadi umalize, huku ukiwa unaendelea kutumia internet, kiasi chochote kuanzia 1000 kinapokekewa.

JINSI YA KULIPIA
ukiwa umeshaamua kuchukua router yako, utawasiliana na mm Agent wa tigo(DSA) nita request tigo wewe kupatiwa huduma, utatumiwa Message ya kulipia kutoka tigo moja kwa moja utalipia. Hakuna hela unayomtumia mtu yoyote malipo yote yanaenda tigo direct.

KUFIKISHIWA KIFAA(DELIVERY)
ukishafanya malipo tigo, utaniambia sehem ulipo popote Tanzania utatumiwa kifaa bila kutoa gharama za usafiri yani free delivery. Kwa waliopo dar-es- salaam na morogoro unaweza fanya malipo tukiwa tumeshakutana.
Karibu sana hutajuta kujiunga na huduma hii, utatamani ungekua umeifaham hii huduma tangu zamani

Mawasiliano: 0717700921
 
Attachments

  • IMG-20241111-WA0001.jpg
    IMG-20241111-WA0001.jpg
    77.3 KB · Views: 42

Nina maswali mawili:
1. Router inatumia umeme? Umeme ukiwa haupo?
2. Hakuwezi kuwa na (Hakuna) router ambayo inaweza unganishwa kwa watu wachache zaidi (labda 10, badala ya 64) halafu ikauzwa kwa pungufu ya 250k na malipo ya kila mwezi ya pungufu ya 100k?
 
1. Router inatumia umeme ila ikiwa hakuna umeme unaweza kutumia power bank
2. Ipo pocket wi-fi ambayo inachukua watu 10 tu hiyo pamoja na bando unlimited unaipata kwa 130k tu
 
Tigo/Yas ni wababaishaji, namshauri mtu mwenye matumizi makubwa atumie Airtel au Vodacom, Yas wamekuwa matapeli, wana device nzuri na strong ila service ni magumashi, kama matumizi yako ni GB 100+ per day tumia Vodacom au Airtel utanishukuru.
 
Kiongozi unatakiwa ufaham kila mtandao unatoa gb ngapi kufikia CAP, ukijua hivyo ndo utaweza kumshauri mtu atumie mtandao upi tena kulingana na matumizi yake, mana matumizi ya watu yanatofautiana na kila router ya mtandau fulani inamfaa mtu mwenye matumizi ya aina fulani
 
Nimetumia zote, YAS ni matapeli, ukiwa na matumizi ya GB 100 kwa siku hutoboi. Narudia tena kwa matumizi makubwa VODACOM na AIRTEL ndiyo chaguo sahihi, kama uko karibuna miundombinu ya TTCL pia ni chaguo zuri sio YAS. YAS NI MATAPELI.
 
Kwanza Airtel hata ulichelewa kulipia bandle huhitaji kuwasiliana na wahudumu ili kuwashiwa Bali unajiunga tu so Airtel ni best Zaid na Vodacom
 
Wadau najua wapo watu mnaotafuta wi-fi router nzuri huku so nimeona niwaletee uzi huu huenda ukawa msaada kwa wengine.

FAIDA ZA KUWA NA WI-FI ROUTER ZA TIGO (YAS)

Ndugu yangu kua na hii wi-fi router kuna faida nyingi sana, kama unajiweza kidogo, jitahidi usikose kifaa hiki.
1. Ukiwa na wi-fi unaweza kukuza biashara yako. kwasababu wateja watapenda kuja ofisin kwako wakijua kuna free wi-fi, pia wewe utakua huru kupost biashara zako mtandaoni ukiwa hauhofii kuishiwa bando mana wi-fi router za tigo zina bando unlimited na speed yake ni kubwa.
2. Kuokoa gharama za bando. Ukweli ni kua bando za kawaida zinaumiza sana mana ukipiga hesabu ya gb 1 kwa 2100 mfano ikiwa kwa siku unatumia gb 1 basi kwa mwezi unatumia 63000. pigia mara watu wote mliopo kwenye ofisi, taasisi au nyumbani kwenye familia yako na majirani, ukizidisha utakuta hela ni kubwa sana mnayotumia. Kukata hizo cost zote mngechukua wi-fi router ya tigo mana inaunganisha hadi watu 64, yani watu 64 wote mnatumia bando unlimited

3. Wi-fi router za tigo zina speed kubwa na zina technology ya 5G pia hazisumbui au kukata katikati ya mwezi, speed kuanzia 20mbps hadi 200mbps hivyo utakua na stable internet connection mda wote.
4. Kifaa ni portable yani kinabebeka kirahisi unaweza kuhamisha, mfano kutoka ofisini kwenda nyumbani kwenye gari unaweza kutembea nacho huku wi-fi ikiwa inafanya kazi. Pia kifaa kinasambaza wi-fi eneo kubwa, zaidi ya mita mia moja

BEI NA UTARATIBU WA MALIPO.
Utaratibu wa malipo upo wa aina mbili, utaratibu wa mara ya kwanza unapohitaji wifi na utaratibu wa kulipia kila mwezi.

UTARATIBU WA MARA YA KWANZA.
Mara ya kwanza unalipia kiasi cha sh.250,000, kiasi hicho ni kwaajili ya kupatiwa kifaa(router) pamoja na bando unlimited lenye speed ya Mbps 100. Pia utapewa offer mwezi unaofuata hautalipia, kwahiyo ukishatoa hiyo 250000 miezi miwili yote utatumia wi-fi router yako bila kulipia, utaanza kulipia mwezi wa tatu na kuendelea.

UTARATIBU WA KULIPIA KILA MWEZI
Kila mwezi utakua unalipia laki moja, hii ni kwa speed ya 20mbps (inawezatosha kabisa kama mtakaokua mnatumia wifi hamzidi 20) au 150,000 kwa mbps 50(kama mnaoenda kutumia wi-fi ni wengi zaid ya 20) pia kama unahitaji speed kubwa zaidi ya hapo kuna 200,000 Mbps 100 na 400,000 mbps200. Uzuri ni kua malipo ya kila mwezi unaweza kulipia kidogo kidogo hadi umalize, huku ukiwa unaendelea kutumia internet, kiasi chochote kuanzia 1000 kinapokekewa.

JINSI YA KULIPIA
ukiwa umeshaamua kuchukua router yako, utawasiliana na mm Agent wa tigo(DSA) nita request tigo wewe kupatiwa huduma, utatumiwa Message ya kulipia kutoka tigo moja kwa moja utalipia. Hakuna hela unayomtumia mtu yoyote malipo yote yanaenda tigo direct.

KUFIKISHIWA KIFAA(DELIVERY)
ukishafanya malipo tigo, utaniambia sehem ulipo popote Tanzania utatumiwa kifaa bila kutoa gharama za usafiri yani free delivery. Kwa waliopo dar-es- salaam na morogoro unaweza fanya malipo tukiwa tumeshakutana.
Karibu sana hutajuta kujiunga na huduma hii, utatamani ungekua umeifaham hii huduma tangu zamani

Mawasiliano: 0717700921
Ushauri wa kipumbavu.

Router nzuri ni Vodacom na Airtel. Zakwenu ni magumashi, mliniingiza kingi nikanunua kwa matumizi ya ofisini kumbe ni utapeli baada ya wiki tu hamna kitu. Tatizo hilo halipo kwa Voda na Airtel. Acheni kucheza na akili za watu.
 
Halotel wamejiSet kufanya zaidi biashara ya Internet/data kuliko hao wengine.Hao wengine wanaringia ukubwa wao wanaweka mabei ya ajabu,wakitegemea zaidi biashara za voice na fedha Mpesa &Co.Sasa hivi mpaka wameanzisha vikoba🤔
Likewise kwako unatakiwa ufaham gb ambazo mtandao huo unatoa kabla ya kusifia mtandao fulani, mana unaweza kujikuta unapata lawama toka kwa mdau humu atakaeenda kununua router fulani akitegemea itampa matokeo kama ulivyosema ww kumbe kutokana na matumizi yake hiyo haimfai.

NITOE UFAFANUZI KIDOGO.
iko hivi kila mtandao una Capacity limit yake(CAP) yani hicho ni kiwango cha Gb unachopewa uweze kukitumia kwa speed kubwa. Gb hizo zikiisha speed ya mtandao inashuka sana maranyingi hadi mbps1 au 2 na kila mtandao unautaratibu wa aina ya CAP kua inayolewa kwa muda gani. Kuna wanaotoa kwa siku na wengine wanatoa kwa mwezi. Mfano unakuta labda airtel wanatoa Gb 300 kwa mwezikwenye kifurushi cha kulipia 70k, au unakuta yas wanatoa gb 36 kila siku kwenye kifurushi cha kulipia 100k kwa mwezi, au unakuta halotel wanatoa GB100 kwenye kifurush cha kulipia 50 kwa mwezi.
Sasa kinachoweza kumfanya mtu aone router fulani ni nzuri ni kama itaendana na matumizi yake. Yani mfano anaetumia halotel kama matumizi yake kwa mwezi labda hayatazidi gb 100 huyu mtu akitumia kifurush cha halotel cha kulipia 50k ataona mtandao uko sawa mwezi mzima, ila ikiwa tarehe kumi tuu unakuta kashazimaliza zile gb 100 huyu baada ya hiyo tareh 10 ataona mtandao una speed ndogo hadi mwezi mwingine uanze. Pia kama mtu anatumia router ya tigo na ana matumizi labda kwa siku hazizidi gb 36 ataona mtandao hauna shida siku nzima ila ikiwa labda saa tatu usiku kashazimaliza zile gb 36 basi huyu mtandao utashuka speed hadi ifike saa 6 usiku(siku nyingine ianze).
Hizo data nimetolea mfano tu. Hivyo ndivyo ilivyo na ndio mana hata ukiingia mfano tiktok ukaangalia video ya mtu alietoa malalamiko kuhusu router fulani kua na mtandao mbovu utakuta watu wengine wanakomment kua ni kweli router hiyo iko vibaya wengine wanasema iko vizuri nikwasababu wametofautiana matumizi. Sababu nyingine zote sio kubwa sana kama hiyo (sababu zingine ndogo ndogo zinazoweza ku athiri performance ni kamavile technologia ya kifaa na mtandao namaanisha 3G, 4G,5G, nk. )
 
Kwanza Airtel hata ulichelewa kulipia bandle huhitaji kuwasiliana na wahudumu ili kuwashiwa Bali unajiunga tu so Airtel ni best Zaid na Vodacom
Hata yas ni the same, ukiwa hujalipia ukija kulipia tu inarudi, na yas zipo za aina mbili kuna ya postpaid na prepaid yani ipo ambayo unaweza kutumia ukalipa siku yoyote kwenye mwezi au hata ukalipia kidogo kidogo huku ukiwa unatumia huduma, na ipo ambayo unalipia ndo upate huduma. Zote ziko vizuri ni wewe tu na uchaguzi wako
 
1. Router inatumia umeme ila ikiwa hakuna umeme unaweza kutumia power bank
2. Ipo pocket wi-fi ambayo inachukua watu 10 tu hiyo pamoja na bando unlimited unaipata kwa 130k tu
Naomba ufafanuzi kwa hiyo inayochukua watu kumi, je gharama za kila mwezi zipoje?
 
Ushauri wa kipumbavu.

Router nzuri ni Vodacom na Airtel. Zakwenu ni magumashi, mliniingiza kingi nikanunua kwa matumizi ya ofisini kumbe ni utapeli baada ya wiki tu hamna kitu. Tatizo hilo halipo kwa Voda na Airtel. Acheni kucheza na akili za watu.
Shida inakua ni nn
 
Back
Top Bottom