Faida za kituo cha huduma kwa pamoja (One stop Border post)

Nancyjoa13

Senior Member
May 18, 2018
167
97
Rais Dkt.John Pombe Magufuli na rais wa Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu wamezindua kituo cha huduma kwa pamoja Tunduma na Nakonde One stop Border post kilichojengwa kwa zaidi ya shillingi Billion 14.
1570289406536.png

Tueleweshane baadhi ya faida zake.
• Kupunguza gharama za ufanyaji biashara kwa kuondoa milolongo.
• Kupungua kwa gharama za utendaji na usimamizi.
• Kupata manufaa ya kiuchumi na matumizi stahaili ya rasilimali katika uondoshaji wa bidhaa.
• Kuongeza vivutio vya uwekezaji wan je, ndani na ule kati ya nchi wanachama.
• Kuboresha mahusiano kati ya sekta binafsi na ile ya umma.
• Kujenga mfumo wa kuzuia biashara ya magendo katika jumuiya.
• Kupunguza hatari iliyopo kutokana na Kukiuka kwa sheria kwa bidhaa zinazosafirishwa kwenda nchi nyingine.
• Kujenga mfumo madhubuti wa kusimamia mapato.
• Kuwezesha matumizi ya teknolojia ya habari na mwasiliano na ukusanyaji wa takwimu katika jumuiya
• Kuongeza mzunguko wa biashara kutokana na kupungua kwa michakato katika utendaji.
• Kuwezesha Soko la pamoja na kujenga soko moja la ndani.
• Kuondoa vikwazo visivyo vya kodi ili kuwezesha mzunguko huru wa bidhaa ndani ya
 
Back
Top Bottom