Faida za kipima

semmy samson

Member
Dec 20, 2010
85
0
naomba kuuliza wana JF eti faida za kupima ukimwi nini? au baada ya kujua mtu anaukimwi faida yake nini?
maana naona watu wakishajijua wana ukimwi ndo wanaendelea kuusambaza kwa nguvu. ebu nisaidienikwa hilo madoctor wa JF.
 
Utakkuwa ukiishi kwa tahadhari za kutousambaza kwa wengine kama wewe muathirika utakuwa na akili na uungwana. Lakini kama utakuwa sio mstaarabu utausambaza kwa wasio na hatia.
Pia ukipima utaweza kuanza kutumia dawa za kukufanya uishi kwa muda mrefu, hata miaka 20 unaweza ukawa unaishi na virus vya ukimwi.
 
precisely, it is for personal beneft.
 
nakubaliana na jibu la utingo kwamba ni kwa personal benefit. Japo Mtu ukijua kuwa umeupata frastruation zinaongezeka na hata siku za kufa unaona zimekaribia....Ebwana poa madoctor X mass njema na happy New year.
 
kwanini tuogope ndugu zangu bwana anasema.. Is any sick among you? let him call for the elders of the church; and let them pray over him, anointing him with oil in the name of the Lord: And the prayer of faith shall save the sick, and the Lord shall raise him up; and if he have committed sins, they shall be forgiven him. Confess your faults one to another, and pray one for another, that ye may be healed. The effectual fervent prayer of a righteous man availeth much.
(James 5:14-16) mungu awabariki mkitafakari haya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom