TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,053
- 22,217
Sio Kila thread hii comment yako ina apply. Fanya jambo kwa busaraInasikitisha sana
Upo sahihi mkuu, inasikitisha sanaSio Kila thread hii comment yako ina apply. Fanya jambo kwa busara
Shukrani Mkuu midas natengenezea pdf file huu uzi utanifaa mbele ya safariView attachment 3397794
Faida za kiafya za magimbi (Arrow root):
Magimbi yana virutubisho kama vitamini C, E na B6. pia madini ya potassium, phosphorus, shaba, magnessium na manganese. Pia magimbi yana protini na fati
■ Husaidia katika kudhibiti kiwango cha sukari hufanya isipande.
■ Hupunguza kasi ya mmeng’enyo wa chakula
■ Hupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo na mishipa ya damu.
■ Magimbi yana chembeche,ambazo hulinda mwili dhidi ya saratani kwa kuuwa seli za saratani.
■ Husaidia katika kupunguza uzito
■ Huboresha afya ya utumbo
■ Hulinda mwili dhidi ya mashambulizi
■■ Pia hutibu vidonda vya tumbo
Limenye vizuri kisha katakata vipande vidogo vidogo!
Kisha lianike sehemu salama!
Kisha likikauka twanga halafu unga wake uchanganye na asali mbichi .
Matumizi yake:
Lamba vijiko 2x3
Ndani ya wiki mbili utakuwa umepona kabisa.
Au weka vijiko viwili kwenye maji ya moto au uji .
Pamoja na kijiko kimoja cha asali koroga kunywa kikombe kimoja mara mbili kwa siku kila siku kwa siku 14.
Asili huponya
Full cha YusufuKwa mara ya kwanza nimejua faida za magimbi, Kazi nzuri.
Kule uchagani magimbi tunapikia chakula kinaitwa ng'ande au kibulu, Balaa lake halina tofauti na mtu aliekula mayai maharage na parachichi
Nimetengeneza pdf file na kumtumia Shangazi yangu aliyefanyiwa Operesheni ya utumbo ili atengeneze huo mchanganyiko 🙂Barikiwa sana
Namuombea apone kwa harakaN
Nimetengeneza pdf file na kumtumia Shangazi yangu aliyefanyiwa Operesheni ya utumbo ili atengeneze huo mchanganyiko 🙂
Alishapona tunamshukuru sana Mungu na amerudi kama zamani. Lakini huu mchanganyiko akiutumia utazidi kuboresha zaidi na zaidiNamuombea apone kwa haraka
Hakika utamsaidia sanaAlishapona tunamshukuru sana Mungu na amerudi kama zamani. Lakini huu mchanganyiko akiutumia utazidi kuboresha zaidi na zaidi