Faida za COMPUTER/IT certifications hapa bongo

Mkakatika

Member
Joined
Nov 15, 2009
Posts
52
Reaction score
8
Wanajamvi ninaomba ushauri wenu kuhusu faida za certifications za IT hapa bongo. Pia certifications ambazo zina soko hapa bongo. Zipo nyingi ninzozijua mimi ni CCNA, CCNP, MCSE, CERIFICATION ZA DATABASE-ORACLE na CISA,CISM.

Msaada tafadhalini ili niamue nisome nini kati ya hizo juu na nyingine kama zipo.
 
Kama una muda we soma zote,kuhusu umhimu wa certifications in kuwa zinaongeza extra skills na kufanya wewe uonekane uko- Competent kwenye field husika. So inapokuja suala la ajira hapo ndipo utaona umuhimu zaidi wa Certifications. Kwa sababu kama wanataka graduate wa Computer science na mpo kumi the wewe una Certification ya CCNA au CCNP lazima wewe utapewa priority kuliko wenzio. Tatizo bongo zina bei sana maana hiyo CCNA pale UCC ni USD 600...
 
Asante sana chief lugina kwa mchango wako. Inasikitisha sana kwa wale walioko kwenye ajira hata mtu akisoma hizo certification, mwajiri hatambui skill hiyo kwa kutoa a certain award au increament.

22nd
Dola inatumiwa sana hadi kodi ya pango la nyumba wana quote kwa dolaz. Ni huzuni sana na ni tatizo lililokosa ufumbuzi.
 
Fukc the USD, kwahiyo kila kitu sikuhizi mnatumia dola?
Issue za USD kwenye Certifications nadhani inatokana hiyo certification. Mfano CCNA,CCNP zinatolewa na Cisco so wale ni full $ tu. But unakuta hata hao Ucc ambao ni wabongo wanantoa training pia wana rate course hizo interms of $.
 
Fukc the USD, kwahiyo kila kitu sikuhizi mnatumia dola?
Issue za USD kwenye Certifications nadhani inatokana hiyo certification. Mfano CCNA,CCNP zinatolewa na Cisco so wale ni full $ tu. But unakuta hata hao Ucc ambao ni wabongo wanantoa training pia wana rate course hizo interms of $. Lakini kama unaona vp unaweza kuregister pale Ucc au DIT then unakamua mwenyewe ukiwa fit unaenda kupiga paper.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…