Faida za BIG BROTHER AFRICA

hakuna faida ktk jamii ni ufuska tuu ndugu yangu!na yale si maisha halisia ya mtaani
 
Faida zipo, Na kama wewe huzipati hizo faida, haina maana kuwa Big Brother Africa haina faida.
 
We umetoka Kigoma huko ndani ndani faida za Big brother unazijulia wapi?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama wewe huzijui mimi nazijua na kuzifaidi [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…