K Kichwa Ndio Mtu JF-Expert Member Joined Jan 17, 2014 Posts 3,079 Reaction score 1,719 May 28, 2015 #21 pepo bila kifo said: Nadhan haya n malipi ambayo allah hutoa kwa waja wake hv kwel wapata mchepuko kupitia fb tn ukiwa ktk ndoa.mmmhhh Click to expand... Aisee,kumbe ni kazi ya Allah?hatari sana
pepo bila kifo said: Nadhan haya n malipi ambayo allah hutoa kwa waja wake hv kwel wapata mchepuko kupitia fb tn ukiwa ktk ndoa.mmmhhh Click to expand... Aisee,kumbe ni kazi ya Allah?hatari sana
kampelewele JF-Expert Member Joined Oct 13, 2014 Posts 2,998 Reaction score 2,414 May 28, 2015 Thread starter #22 Madame S said: mtu akiamua lake hashindwi na lolote ndugu yangu ndo yashatokea tena hayo kubwa kuwa waaminifu kwenye ndoa zenu tu Click to expand... Nakubaliana na wewe ila nawe kuwa mwaminifu kwa BF wako. Kama upo mwaminifu Password za nini?
Madame S said: mtu akiamua lake hashindwi na lolote ndugu yangu ndo yashatokea tena hayo kubwa kuwa waaminifu kwenye ndoa zenu tu Click to expand... Nakubaliana na wewe ila nawe kuwa mwaminifu kwa BF wako. Kama upo mwaminifu Password za nini?
kampelewele JF-Expert Member Joined Oct 13, 2014 Posts 2,998 Reaction score 2,414 May 28, 2015 Thread starter #23 Viol said: Huko Facebook mda wowote unamvua pichu mke wa mtu Click to expand... Ndo maana mimi na nke wangu huwa si wanachama na tunatumia mspy.com na couple tracker ya android. Maana yalitukuta tukajipa masharti hayo
Viol said: Huko Facebook mda wowote unamvua pichu mke wa mtu Click to expand... Ndo maana mimi na nke wangu huwa si wanachama na tunatumia mspy.com na couple tracker ya android. Maana yalitukuta tukajipa masharti hayo
mito JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 10,811 Reaction score 11,031 May 28, 2015 #24 kampelewele said: Ndo maana mimi na nke wangu huwa si wanachama na tunatumia mspy.com na couple tracker ya android. Maana yalitukuta tukajipa masharti hayo Click to expand... Kabisaaa mkuu??? kweli nyie siwawezi aisee
kampelewele said: Ndo maana mimi na nke wangu huwa si wanachama na tunatumia mspy.com na couple tracker ya android. Maana yalitukuta tukajipa masharti hayo Click to expand... Kabisaaa mkuu??? kweli nyie siwawezi aisee
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,190 Reaction score 34,527 May 29, 2015 #25 kampelewele said: Nakubaliana na wewe ila nawe kuwa mwaminifu kwa BF wako. Kama upo mwaminifu Password za nini? Click to expand... mie ni muaminifu mbona natambua thamani yangu kwake
kampelewele said: Nakubaliana na wewe ila nawe kuwa mwaminifu kwa BF wako. Kama upo mwaminifu Password za nini? Click to expand... mie ni muaminifu mbona natambua thamani yangu kwake
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,190 Reaction score 34,527 May 29, 2015 #26 kampelewele said: Nakubaliana na wewe ila nawe kuwa mwaminifu kwa BF wako. Kama upo mwaminifu Password za nini? Click to expand... hua siwek paswod ktk sim yangu ya nini naficha nini
kampelewele said: Nakubaliana na wewe ila nawe kuwa mwaminifu kwa BF wako. Kama upo mwaminifu Password za nini? Click to expand... hua siwek paswod ktk sim yangu ya nini naficha nini