Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
Aisee,kumbe ni kazi ya Allah?hatari sanaNadhan haya n malipi ambayo allah hutoa kwa waja wake hv kwel wapata mchepuko kupitia fb tn ukiwa ktk ndoa.mmmhhh
Aisee,kumbe ni kazi ya Allah?hatari sanaNadhan haya n malipi ambayo allah hutoa kwa waja wake hv kwel wapata mchepuko kupitia fb tn ukiwa ktk ndoa.mmmhhh
Nakubaliana na wewe ila nawe kuwa mwaminifu kwa BF wako. Kama upo mwaminifu Password za nini?mtu akiamua lake hashindwi na lolote ndugu yangu ndo yashatokea tena hayo kubwa kuwa waaminifu kwenye ndoa zenu tu
Ndo maana mimi na nke wangu huwa si wanachama na tunatumia mspy.com na couple tracker ya android. Maana yalitukuta tukajipa masharti hayoHuko Facebook mda wowote unamvua pichu mke wa mtu
Ndo maana mimi na nke wangu huwa si wanachama na tunatumia mspy.com na couple tracker ya android. Maana yalitukuta tukajipa masharti hayo
Nakubaliana na wewe ila nawe kuwa mwaminifu kwa BF wako. Kama upo mwaminifu Password za nini?
Nakubaliana na wewe ila nawe kuwa mwaminifu kwa BF wako. Kama upo mwaminifu Password za nini?