MRS GINOLA
Member
- Jan 6, 2017
- 50
- 61
Habari zenu wanajamvi napenda kuwaagaia hiki kidogo tupate faida sote mafuta ya nazi na zaituni ni mazuri saana kwa ss wanawake ambao hatupendi machemcal
1. Unapomaliza kukosha nywele ni mazuri kuyachanganya na kupaka kichwani
2.Unaponyoa sehemu za siri changanya pakaa kwenye uke nje na ndani kidogo
3.Kama wakati wa tendo la ndoa unapata maumivu na ukavu pakaa kwenye uke na dushe lipake utasikia raha ya ajabu.
Ahsanteni