Faida ya kuwanga

Faida ya kuwanga

hahaaa...!pole ndo life letu la kibongobongo hilo ila mi nakushauri omba dua kabla ya kulala nothing will disturb you again!
 
Habari zenu wana MMU.
Usiku wa kuamkia leo nikiwa nimelala mida ya saa saba na nane hivi nikaamshwa na sauti iliyokuwa ikiniita, kwanza nikauchuna, sauti ikawa inaendelea kuniita ni sauti ya mtoto wa dada yangu, ilipozidi nkaona bora niamke nihakikishe labda nilikuwa naota.
Nikiwa macho kabisa nkaanza kusikia naitwa tena, baada ya muitaji kuona siitiki akaanza kutumia sauti ya dada yangu mkubwa, sauti ikawa inaniita kwa ukali niamke nikafungue mlango, nikagundua ni wanga tu.

So......?
Watakubutua ngoja waje na swaumu zao.
 
So......?
Watakubutua ngoja waje na swaumu zao.

Mkuu acha kashfa ya kuwasema watu walio ktk mwezi wa ramadhani, hata kama mwanga alikuwa ni kati ya hao walio kwenye ramadhani haimaanishi kuwa wanga wote ni watu wa imani hiyo, huku makwetu tuna wanga n
 
Habari zenu wana MMU.
Usiku wa kuamkia leo nikiwa nimelala mida ya saa saba na nane hivi nikaamshwa na sauti iliyokuwa ikiniita, kwanza nikauchuna, sauti ikawa inaendelea kuniita ni sauti ya mtoto wa dada yangu, ilipozidi nkaona bora niamke nihakikishe labda nilikuwa naota.
Nikiwa macho kabisa nkaanza kusikia naitwa tena, baada ya muitaji kuona siitiki akaanza kutumia sauti ya dada yangu mkubwa, sauti ikawa inaniita kwa ukali niamke nikafungue mlango, nikagundua ni wanga tu.

Hao sio ndugu zako bali ni vibwengo. Huwa wanapenda sana ule mchezo mcafu wa kuruka ukuta. Hakikisha unalala umevaa supi ya chuma.
 
Ulijuaje kuwa ni wanga kama wewe si mwanga?
 
Habari zenu wana MMU.
Usiku wa kuamkia leo nikiwa nimelala mida ya saa saba na nane hivi nikaamshwa na sauti iliyokuwa ikiniita, kwanza nikauchuna, sauti ikawa inaendelea kuniita ni sauti ya mtoto wa dada yangu, ilipozidi nkaona bora niamke nihakikishe labda nilikuwa naota.
Nikiwa macho kabisa nkaanza kusikia naitwa tena, baada ya muitaji kuona siitiki akaanza kutumia sauti ya dada yangu mkubwa, sauti ikawa inaniita kwa ukali niamke nikafungue mlango, nikagundua ni wanga tu.

Pole mkuu ukiamka lazima wakule tigo hebu angalia
 
Lala na mfupa wa kitimoto ww.. Hujajuaga tuuuuu.. Shauri yako watakunyakua ujikute umelala kwenye sanduku la kuuzia chips
 
Habari zenu wana MMU.
Usiku wa kuamkia leo nikiwa nimelala mida ya saa saba na nane hivi nikaamshwa na sauti iliyokuwa ikiniita, kwanza nikauchuna, sauti ikawa inaendelea kuniita ni sauti ya mtoto wa dada yangu, ilipozidi nkaona bora niamke nihakikishe labda nilikuwa naota.
Nikiwa macho kabisa nkaanza kusikia naitwa tena, baada ya muitaji kuona siitiki akaanza kutumia sauti ya dada yangu mkubwa, sauti ikawa inaniita kwa ukali niamke nikafungue mlango, nikagundua ni wanga tu.

Hapo faida iko wapi?
 
ha!! ha!! ha!! ha!! ha!! ha!!!
hizi sasa bange, sasa faida ipo wapi hapo mkuu.......!!!!???
 
Mhhh hiyo technology tungeitumia kivingine tunge win aisee
 
Mkuu mura acha kutufehesha, unataka kusema sisi akina mura ni wanga? aisee nitake radhi mura kabla sijatembeza panga sasa hivi.
hahahaaaa! ebhana nilitaka kujua kama kweli wewe ni wa Tarime! hahaaa!

kuna sehem nimeona Tarime one anataka kumghecha mtu bhana!

sasa nikaona nikimshika mabhoko anaweza akanigeukia! lol.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom