Hapo ndo ni kama umeonyesha udhaifu wetu kama Taifa na si suala la sifa badala kutawanya shughuli zetu mbalimbali katika mikoa kulingana na jiografia na shughuli za kiuchumi za huko mikoani ,mambo yote yanarundikwa mahali pamoja, hivi watu wote wakija Dar unajua madhara yake ya kijamii,kiuchumi na hata ki siasa?