Ana mume au aliipata hiyo mimba huko barabarani? Kama ana mume basi hakuna faida bali hasara ya kuletewa maambulizi from outside.
Kama huyo mtoi alimwokota barabarani, hata akikaa miaka 7 mbona bora zaidi amlee mtoi wake vizuri tuu? Kwani uzinzi na haswa ukiuendekeza na wanaume tofauti tifauti ni faida?? Achana nao we tulia utapata heshima
ndio ugonjwa gani??
Kaugonjwa....
Hiko kidudu chako kinaziba. Unatengeneza bikra ya pili.
Kaolewa ila mume yu mbali na mke mpaka sasa wana mwaka kama na nusu hivi hawajakutana kimwili.
Possibility ya kupata "chekelea" ni kubwa....
Hahahahahahaaaaa
Chezeiya kukaa bila kuguswa....
ni kujitakia kaugonjwa tu teh
Ndio maana mie nacheka cheka kumbe nishapata chekeleaa lol na daktari yupo mbaliiiii,sijui itakuaje??
ipo baba gedhinyaku inaongezeka,
na akikushika had unapiz na dam
Kaolewa ila mume yu mbali na mke mpaka sasa wana mwaka kama na nusu hivi hawajakutana kimwili.
Sasa watu mpaka kufikisha teenage si zingekuwa zimeziba jamani?!Tumia theory za evolution (in Biology). "The more you use your body parts, the more stronger they become while the more idle they stay, the high the possibility of the parts being weak or loosing them off". Kama ni naniii itaziba!!!
Kiruuuu.... Unataka kunambia hata cha kwangu kitaziba siku si nyingi??? uwiiiii ngoja nianze kutongoza mwenyewe!!