---
🐖📌 Elimu kwa Wafugaji – Kuhasi Nguruwe (Castration)
Karibu kwenye somo letu kuhusu umuhimu wa kuhasi nguruwe dume.
---
🔍 Kuhasi ni nini?
Ni mchakato wa kuondoa korodani za nguruwe dume wachanga ili kudhibiti uzalishaji wa homoni za kiume.
---
🗓️ Muda Sahihi wa Kuhasi:
➡️ Week ya 3 Hadi 4 baada ya kuzaliwa, husaidia vidonda kupona haraka ,kutoa damu kidogo wakati wa kuhasi
---
✅ Faida Muhimu za Kuhasi Nguruwe:
1. Kuboresha ubora wa nyama: Hupunguza harufu mbaya (boar taint).
2. *Kudhibiti uzazi usiofaa shambani : Huzuia uzalishaji holela.
3. Husaidia kuwa mtulivu : Nguruwe huwa watulivu na rahisi kudhibiti.
4. Kuongeza kasi ya ukuaji na uzito : tunapohasi nguruwe husaidia ukuaji mzuri na kuongeza uzito kwa dume
5. Huzuia magonjwa ya uzazi
---
⚠️ Tahadhari:
---
📞 Kwa Huduma za Mifugo:
Dr. Gilliard – Daktari wa Mifugo
📱 0674740836 | 0792263640
Tunatoa huduma bora: Matibabu, uhimilishaji, chanjo na ushauri wa kitaalamu.
-

- Tumia kifaa safi na salama.
- Hakikisha usafi na tiba sahihi baada ya kuhasi ili kuepuka maambukizi.