faida kama zifuatazo
viazi__starchy
mayai__protein
mafuta__rapid (fatty)
lakini mbali na faida izo ni chakula chenye fravor nzuri sana yaani mfano ukilinganisha unapokula ugali na unapokula zege uwezi fananisha radha zake niayo tu
NB: wabongo wanapenda kujiaminisha vitu vya kijinga eti ni chakula cha like eti Mara ivi mara vile