ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,797
- 60,635
Front sit....nikiunga mko hoja[emoji113][emoji113]1.hawazeeki mapema
2.kila nguo inawapendeza
3. hawakinaishi yaani hawana minyama minyama kwenye mapaja ambayo inaweza kukufanya ukawachoka au ukapata uvivu wa kuwapelekea moto.
4.wako shapu yaani Kama kuna mission unacheza nao fasta wanaikamilisha hata kutembea kwao tu wakitembea fasta Bado wanavutia ila kibonge akitembea fasta fasta anachekesha.
5.wengi wana akili na vipaji.
6.wengi Ni wapole.
7.Ni rahisi kuwabeba hata ukitaka kumfukuza unamnyanyua na kumrusha nje ila vibonge akiamua kukaa hata kumnyanyua TU utashindwa uanzaje
So binafsi japokuwa mnasema chura ndo habari ya Sasa lakini Mimi daima nitasimama na slims mpaka mwisho kwa sababu faida Ni nyingi kuliko hasara.Na stori yangu ndio imeishia hapa.
Amina8. Dusheee haipati shida kupita kwenye barabara yake
9. Break ni zile goroli mbili.
Nyama tam iliyo karibu na mfupa
Muongo mkubwa wewe8. Dusheee haipati shida kupita kwenye barabara yake
9. Break ni zile goroli mbili.
Hahahahahahaha hahaahNi wavivu wa kupika hivyo mwanaume ajiongeze.
Nyama bila mfupa bado haijawa nyama hiiiiii wembamba tutabaki kileleni[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Acha zako. Nyama tamu iliyonona
Kama kuna kaukweli fulani hivi.....Mimi nina anti yangu mwembamba mno ni mvivu wa kupika yeye kila siku ni mwendo wa Tambi tu.Ni wavivu wa kupika hivyo mwanaume ajiongeze.