Faida na madhara ya kuoga kwa maji ya moto

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Watu wengi hupendelea kutumia maji ya moto kuoga pale hali ya hewa inapobadilika na kuwa ya baridi au wakati mwingine mtu anaumwa hivyo anatumia maji ya moto.

Lakini kwa ajili ya urembo na afya ya ngozi, maji ya moto yanatajwa kuwa ni kitu muhimu sana kama vilivyo vipodozi vingine vinavyoisaida ngozi yako kuwa nyororo.

Katika jamii kumekuwepo na mitazamo tofauti, mingine ikitaja kwamba kuoga maji ya moto si nzuri kiafya. Wengine wamediriki hadi kusema kwamba Mwanaume kuoga maji ya moto ni ujinga.

Je, nini faida na hasara ya kuoga maji ya moto?


-----
MICHANGO YA WADAU

 
Nasubiri comment za wadau nami nijifunze,niliwahi kusikia maji ya moto sana huchosha ngozi pia kwa ladies si mazuri kujiswafi,otherwise maji ya vuguvugu ndiyo yanayoshauriwa.
 
Nasubiri comment za wadau nami nijifunze,niliwahi kusikia maji ya moto sana huchosha ngozi pia kwa ladies si mazuri kujiswafi,otherwise maji ya vuguvugu ndiyo yanayoshauriwa.

Ngoja waingizane maana hii inaniletea zogo
nsije zeeke mapema
na nikijana mdogo
 
Mmmh kazi kweli kweliii, haya na mimi ngoja nisikie wadau wanasemaje
 
heee!! hivi ni kweli maana naona kila mtu yupo very positive katika nililo uliza
Nimeogopa kweli
 
Maji ya moto matamu
na dhani hizo ni facts to..
si dhani kama yanashida yeyote...
maji ya moto saa yeyote......lol
 
Hayana shida yoyote,hayo ni maneno ya watu tu mimi nimeyaoga kuanzia utoto wangu na mpaka leo nina miaka 34 lakini ukiniona kama vile nina miaka 25.
 
hayana shida yoyote.......................................
we we we wachana na hayo maji kabisa sio lazima uzeeke mwili kwa ujumla wake unaweza zeeka some parts of z body na ikawa mbaya zaidi. Oga maji moto pale tu inapobidi. Si ndiyo?
 
 
Hata mimi nna wasiwasi na maji ya moto japo nimeyaoga sana tangu mdogo.

Navyohisi haya maji hayachangamshi mwili,maana hayashtui ila ukioga ya baridi unahisi mshtuko kidogo na mwili unachangamka.

Sijui ni mimi tu au na kwa wengine ni hivyo.
 
Maji ya moto poa sana hata kwa wale waliombali na wake/waume zao wakisikia kunanihino we tia maji moto ngoma inakuwa inogile h**** yote inakwisha kabisa
 
nadhani kitu chochote kitiwacho huwa na volume (ujazo) kwa hiyo i cant relate it na mwanaume kutia maji moto....how? Where? Kwa mwanamke ok! Au.....

Wote wanaweka bwana tena mwanaume ndo rahisi sana kitu kimesi***** unamwagia maji mote kinalala chenyewe na husikii tena maluweluwe. Si ukajaribu halafu usisahau kuja kunipa matokeo sawa eeehhh au sio HC?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…