ukishiriki na mtu kimapenzi awe mwanandoa au mchepuko tegemea yafuatayo,
-kama ana ngekewa utarithi ngekewa yake ndio kitu inaitwa kusafiria nyota ya mwenzako
-kama ana gundu mtashare hayo magundu mpaka mchanganyikiwa
ni kama kwenye genetics mambo ya cross breeding basi na kwenye michepuko kiroho iko hivyo ndio maana kuna makanisa yanakitu inaitwa deriverence japo mimi siiamini kivile
ndio maana kuna vichaa duniani
Ukishiriki na mtu
kimapenzi awe mwanandoa au mchepuko tegemea yafuatayo:
1) Kama ana ngekewa utarithi ngekewa yake ndio kitu inaitwa kusafiria
nyota ya mwenzako
2)Kama ana gundu mtashare hayo magundu mpaka mchanganyikiwe ni kama
kwenye genetics mambo ya cross breeding basi na kwenye michepuko kiroho
iko hivyo ndio maana kuna makanisa yanakitu inaitwa deriverence japo
mimi siiamini kivile.