mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,789
- 7,174
Tukianza na faida, nchi hii imechukua fursa nyingi sana kutoka kwa wachina hasa katika viwanda na biashara.
faida ,
Pikipiki za bei nafuu zimetengeneza ajira,
Ufundi chuma hasa alminiumu, zimepunguza ukataji miti hovyo
Utengenezaji maua artificial,
Shughuli za ujenzi kama kujenga kwa bei poa
Kutengeneza viwanda vidogo vidogo nchini kama mabetri, charger n.k
HASARA
Huaribifu wa ajira, kama bishara ndogo ndogo,
Wizi wa Pembe za ndovu,
Uzalishaji wa vidhaa feki,
Usambazaji wa madawa feki kama vile viagra na ya kuchubua ngozi,
Ongezeko la ulanguzi katika vyumba vya bishara, wao sehemu ndogo huku wana magodown ya kujificha.
mengine ongeza