Faida kubwa ya Kuinstall Custom ROMs kwenye simu za Android

Ipi ni Custoroom Mzuri Ya HTC ONE XL

Nakushauri utumie Cyanogenmod,kwa kuwa yenyewe ni the most popular, stable na hata pia inapata support kubwa. Pia kimatumizi kwa daily use ni nzuri sana. Pia ipo kistock Google zaidi kwa kuwa haina unique features nyingi sana ukicopmare na Custom Roms nyingine.
 
Mkuu nifahamishe kuweka custom ROM kwenye SII i9100 nimesha root kwa frama na pia apps kama samsung link,readers hub tmemo play movies nikifuta itasumbua?







Custom ROMS nzuri sana kwa simu yako nitakazokushauri utumie ambazo zitafaa zaidi kwa simu yako na utafurahia ni OmniROM na Cyanogenmod.
Download Omnirom hapa
Download Cyanoenmod hapa
Chagua latest nightlies ili kupata "the most stable experience." Angalia NIGHTLY releases ambazo zimetolewa hivi karibuni. Ukiinstall nightly ambazo zimetolewa muda siyo mrefu utapata stable performance bila kukutana na bugs ambazo zilikuwa muda wa nyuma, kwa kuwa nightlies zinatoka kila usiku, kwa hiyo developers wanakuwa wanajitahidi kuangalia bugs zilizopo na kuzifanyia kazi.
 
Wakuu wote mnaoulizia kuhusu custom rom ipi ni nzuri kwa ajili ya simu yako ni vyema mkachek xdadeveloper forum...hapo utapata kujua custom roms kwa ajil ya simu yako pia jinsi ya kuinstall na hata kujua kama itakufaa kwa matumizi yako coz wanaorodhesha whats working na whats not working,bugs pamoja na matumizi na any updates...pls jaribuni kufuatilia huko na kila la kheri
 
mkuu mimi natumia rooted phone lkn sijui maana ya custom rom, nielekeze mkuu na mimi niiweke on my device
 
mkuu mimi natumia rooted phone lkn sijui maana ya custom rom, mkuu nifafanulie maana yake then na mimi niiweke on my device
 
Mkuu Ahsante ,nimefungua zote mbili,ila hapo kwenye OMNI naona files mbilimbili moja ikiwa na bytes 114 chache ikiwa na alama ya kuuliza kwenye folder icon na nyingine ikiwa na mb 175.4 tena folder lake la manjano.
Vipi hapa na download folder zote mbili au nachagua moja tu!
Merry -xmass!
 
mkyy DreamChaser naomba mwongozo wa kuweka custom ROM kwenye techno m3. npo rooted
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…