Faida 7 za kulala uchi

Namba 5 revize bosss, kuna vijinguo vyakutamanishana vina add value. Sio mijibwanga kama pepe kale au bukta ya Yanga/Simba/Arsenal
Hivyo vinguo vipo lakini kulala uchi ndio mpango mzima
 
Sipati picha kibaka wa Umavini kapiga nusu kaputi kuingia ndani kamkuta mwanaume wa Dar Matak* wazi yanapumua, hiyo shughuli yke ni Zaidi ya Kufuta Waraka.
 
Hahahahahaha!? Hivi mkuu unakujua makete!? Kwa kifupi ukiwa na uwezo waku ishi huko bas una asilimia 70% za kuishi bala la antactica. Unalalaje uchi kwa mfano!?
ma blanketi na maduvet si yapo?
 
Daah! Enzi zile za popobawa hii concept ya kulala uchi ilikuwa hainiingii akilini kamwe.

Usiku nilikuwa nakula kipensi changu cha jeans ndani...afu mapema asubuhi nakijaladia na suruali ya shule nachelewa school ndio kinakuwa stick guard.
Mkuu. Mi nikadhani wewe hua ni muhenga
 
Siwezi kabisa kulala na nguo. Ikitokea bahati mbaya nimepitiwa usingizi nikiwa nimevaa nguo lazima nitaamka asubuhi sina hata nguon moja mwilini. Tatizo sana hili
 
Mkuu sasa napata picha huku uswahilini wapiga chabo nao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…