Mwalimu interprises
Member
- May 31, 2022
- 20
- 19
naamini sio ndoto tena kuona waliofanikiwa
Kwenye ufugaji ila pia natamani isiwe ndoto
Pia kwako uwe mmoja wa waliofanikiwa Kwenye
Ufugaji, nipite njia ipi?
1. Kuwa tayari (roho ya kuanza kufuga)
2. Penda mfugo unaohitaji.
3. Jifunze kitu kipya kila siku cha ufugaji
4. Hakikisha unaanza ukiwa na mtaji mkubwa wa mawazo kuliko pesa.
5. Amini ufugaji ni ajira kama au zaidi ya zingine ili kuupa thamani.
6. Jijengee mazoea ya kujifunza kwa walio fanikiwa tayari Kwenye ufugaji.
7. Anza kwa namna yoyote bila kuzingatia ukubwa wala udogo ulonao Kwenye ufugaji.
8. Kila changamoto kwako iwe fursa ya kujua jambo na kupiga hatua mbele.
9. Uvumilivu ni muhimu saana maana ufugaji wa faida ni ule wa muda mrefu.
10. Tengeneza soko lako la uhakika na kujihakikishia cheni ya kudumu.
Kwetu utapata elimu , Incubator, Pellets machine, cages, vifaranga, na vifaa vingi zaidi.
Tupo goba njia nne 0676 176 742 Dar es salaam