Manopter2012
Senior Member
- Jun 9, 2019
- 155
- 156
Siti ya mbeleSalama wakuu,
Unajua taani kumekua na story nyingi sana kuhusu Dark Web, story nyingine zinaweza kuwa ni za kweli ama uongo, lakini tulio wengi hatujui kama tunadanganywa ama laa!! Na sababu kubwa ni kua na uoga wa kile tulicho aminishwa...