Fahamu undani wa mnyama simba

Niliwahi kuambiwa mtu mwenye nguvu sana hua ni dhaifu na mwenye wivu sana kwenye mapenzi
Na kumbe hilo lipo hadi kwa simba..You mfalme wa jungle punguza wivu acha kuua watoto wa wenzako mbona sie twalea watoto wa wengine
 
Wakiwa kwenye makundi kwa kwaida hulala kwa saa 16 ila wakiwa honey moon hutumia mda mwingi kutafuta watoto
 
kuna simba flani ni weupe. mwili mzima wanaitwa white lion.hawa wanapatikana wapi ndugu mtoa mada
Ni kweli mkuu hawa white lion wana undugu na hawa simba wa kawaida isipokuwa wao wanakuwa weupe kutokana na huzaliwa na gene nyingi sinazosababisha albinism na hawa white lion hawana uwezo wa kuishi porini kama hawa simba wa kawaida wao huhifadhiwa kwenye vigala vya kuhifadhia wanyama pori (zoo ) na hasa hasa wanapatikana kwenye zoo katika nchi za Africa kusini, Austria na nchini Serbia kwa hiyo ukibahatika kutembelea moja kati ya hizi nchi hao White lion utawaona. Picha ninazo ila bado sijafahamu namna ya kuziweka kwenye sehemu comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…