Fahamu ukweli kuhusu kuzimu na mbinguni

Fahamu ukweli kuhusu kuzimu na mbinguni

Hicho kitabu kinazungumzia Jehanamu na siyo kuzimu, watu mnachanganya Sana, kuzimu inaitwa -hades au abyss Kwa kiingereza, Jehanamu ndo inaitwa hell, kuzimu hakuna moto, ni makazi ya Shetani na mapepo tu.
Jehanamu ndo kuna moto.
muwe mnasoma lugha kwanza za watu kabla ya kuweka topic Kwa kujiamini .
 
Kuzimu kuna moto pia na si makazi ya Shetani na mapepo tu bali ni sehemu ambayo roho zote zilizokufa katika dhambi hufikia. Hapa ni sehemu ya mateso Shetani huzitesa roho zote zilizokufa katika dhambi kabla haijaja ile siku ya hukumu aliyoiweka Mungu. Katika siku hiyo Shetani na pepo wote pamoja na
roho zote zilizokufa katika dhambi zitatupwa kwenye Jehanam ya moto.
 
Back
Top Bottom