Fahamu sifa za mwanamke asiyefaa Kuolewa asirani

Fahamu sifa za mwanamke asiyefaa Kuolewa asirani

Heheheee kuna ambazo umetaja za kweli ila hilo la kuhisi kuwa unamsaliti..mmmhh Inaonyesha unataka kumfunga mdogo asiseme kama ukiwa unamsaliti...



Ila wanaume hawa watakuwa wakifundwa kila kukicha hawasikii..Wao wanachokisikiliza ni kengele zikigonga basi ndio huyo huyo...

Tatizo wanaume walio wengi wa sasa Huwa wanaangalia sana UZURI "UREMBO"...Tabia wameziweka kando...Hii uwapelekea ndoa hazidumu kwani wanakujashindwana tabia....
 
hata kama umeoa na umetawaliwa kama zuzu hii inakuhusu zaidi kuliko ambao hawajaoa.

Tena mi naona inawafaa zaidi wanandoa sababu tabia zote hapo ni ngumu kuzijua kabla hujamuoa mwanamke! Wengi tunapretend ili tuwafikishe altareni!
Baada ya ndoa tunakuwa the REAL US!
 
Tena mi naona inawafaa zaidi wanandoa sababu tabia zote hapo ni ngumu kuzijua kabla hujamuoa mwanamke! Wengi tunapretend ili tuwafikishe altareni!
Baada ya ndoa tunakuwa the REAL US!

Larry king alidivorce mara 27, masoud masoud ana watoto 8 kazaa na wanawake watano na current status yuko single.
 
Back
Top Bottom